Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

Wadau mi inaniandikia NIDA NUMBER

NIDA number already exists​

Shida ni nini apo??
Web capture_15-5-2021_1175_ajira.tamisemi.go.tz.jpeg
 
Mm natumia majina mawil kwenye vyeti na mwaka Jana ilikubal kwa maijina mawl na nkaaply
Wakuu hope mko poa.

Mwaka Jana , niliomba ajira za ualimu lakini nilikosa.

Ule mfumo ulitaka applicant kuweka majina matatu wakati Mimi natumia mawili kwenye vyeti vyangu vyote.

Basi kwakuwa system ya zaman ukiruka ata step moja ilikuwa inazngua kukamilisha application, so niliamua jina la Kati nitumie la namba ya nida.

Sasa this year naskia kwa wanaojisairi upya system inaruhusu ATA majina mawili, nimeajalibu kubadilisha lakini wapi yaan kwenye tarifa binafsi, jina la kwanza, la Kati, na la mwisho pamoja na kipengere Cha jinsia hawakubali kubadilisha,

Nifanyeje maana profile yangu Ni majina matatu uku vyeti vyote Ni majina mawili.

Msaada plz
 
KWA WANAOPATA CHANGAMOTO YA KURESET PASSWORD

Kwenye sehem ya index number wakati unareset password weka Email yako ulotumia wakat unafungua akaunti. Utatumiwa nywila ako
 
KWA WANAOPATA CHANGAMOTO YA KURESET PASSWORD

Kwenye sehem ya index number wakati unareset password weka Email yako ulotumia wakat unafungua akaunti. Utatumiwa nywila ako
Aise mbona nimejaribu inaniletea huu ujumbe, kureset password bado ashindwa mwenye solution ya hii issue msaada plz!

1621094567846.png
 
Wadau embu tusaidiane, kwani ni sheria au ni lazima barua ya maombi ya kazi iandikwe kwa mkono? Kama jibu ni mdio wanachoangalia ni nini? Muandiko au? Kama ulisha wahi kuandika barua yamaombi ya kazi kwa mkono au kwa ku type alafu ukapata unaweza pia kutupa uzoefu!
 
Kwa ufupi sanaa...

Mwandiko wako unawezo wa kuongea mengi sana kuhusu wewe!!
 
Wadau embu tusaidiane, kwani ni sheria au ni lazima barua ya maombi ya kazi iandikwe kwa mkono? Kama jibu ni mdio wanachoangalia ni nini? Muandiko au? Kama ulisha wahi kuandika barua yamaombi ya kazi kwa mkono au kwa ku type alafu ukapata unaweza pia kutupa uzoefu!
wakati naomba ajira niliandika barua kwa kalamu nikapata ilikiwa 2010. Sijui kama kuna utaratibu rasmi
 
Back
Top Bottom