Changamoto wanazopitia wasaidizi wa kazi majumbani

Hawa mabinti sijui niwaelezee vipi, nimekaa nao kadhaa, ukiwa fair sana ni tatizo. Ukiwa mkali ni tatizo pia.
Kuna binti nimekaa naye miezi kadhaa, ila shida ikaanzia kwao, kuna dada yake alimrubuni akamfanyie kazi mkoa fulani, basi namna ya kumtoa kwangu ndo ikawa visa tu .
Kuna meingine alirubuniwa na majirani akatoroshwa, mwingine naye ni ivo ivo. Ni wajinga sana
 
Sitaman binti yangu aondoke, nayeye ashasema hatamani kukua aondoke! She is good namm namfanyia wema mpaka anaogopa. Namsaidia kazi nkiwepo nyumbani, mshahara ontime analipwahaipiti tarehe, zawadi, uhuru, yaan jinsi navyoishi nae aisee!!! Ktk maisha yote ya kufanya kazi kwa watu am sure hatonisahau!

Samahani huyo bado ni binti, au ana mme?
Nina swali baada ya hapo
 
Nitunzie huyo binti nataka kuoa akiwa tayari kuolewa nijulishe
Mkuu huwa namuombea apate mwanaume mwema aisee, binti anajielewa na kikubwa ni mchapakazi na sidhan kama alishanyanduliwa huyu maana hatakag hata kupita karbu na mwanaume! Nadhan bado yupo sealed yaan nawazaga sana asije akaolewa na vijana wasiojua thaman yake ningekuwa na mdogo wangu ningemuubganisha!
 
Mkuu huwa namuombea apate mwanaume mwema aisee, binti anajielewa na kikubwa ni mchapakazi na sidhan kama alishanyanduliwa huyu maana hatakag hata kupita karbu na mwanaume! Nadhan bado yupo sealed yaan nawazaga sana asije akaolewa na vijana wasiojua thaman yake ningekuwa na mdogo wangu ningemuubganisha!
Mkuu naomba unitunzie huyo binti, akiwa tayari kuolewa njoo PM
 
Ila mna time ya kuwakula tu
Sasa kama dada wa kazi ana tako kubwa kuliko mama mwenye nyumba, mpole, mcheshi, anajituma na kukuhudumia vizuri kuliko mkeo ambae muda wote yupo bize na Istagram unategemea nini?
Ila kuna mabeki3 mashaallah wanajua kuwajali baba mwenye nyumba.
 
70% ya wamama ni wabaya 30% ya mabinti ni wabaya.
Wamama stress zenu msiwafanye wadada kama punching bag wa utopolo wenu.
Ndugu mbona una makasiriko? tena umeyaelekeza kwangu 😁....
hebu ongea na mkeo, mwambie akae na dada vizuri hauwezi kumtesa mtu ambae anakutunzia watoto mwambie aache hiyo biashara kichaa wakishindwana amuache aende atafute mwingine
 
Kuna madada Wana msongo wa mawazo kutokana na aina ya maisha wanayo ishi..

Ni rahisi kubadilika na wengi elimu hawana ..sasa kuna wajanja mtaani wanasubiri aje mdada waanze kumfunza..

Na walivyo hamnazo utashangaa..

Wengine Ni biashara..unatoa pesa za usafiri aje..kumbe alikuwa hapo hapo mjini nyumba nyingine..anafanya visa kule ili atoke aje kwako mwezi nako atoke..aende kwa mwengine.

Ila pia Kuna wamama na wa baba makatili Sana!
 
Ni binti ana miaka 19, vipi mkuu?

Basi sawa, natumaini Mola atamjaalia siku moja apate Mume na kuanza maisha yake

Nimeona watu wengine ni very selfish wanawafanyisha kazi tangu wasichana mpaka wanazeekea hapo bila kujali huyo atakuja lini kuwa na familia yake?

Ila nimeona comment uliyojibu kwa anaetupa ndoano hapo
Mtunze
 
Back
Top Bottom