Kwenye private nyingi wakitangaza nafasi hasa za kutuma maombi kwa njia ya email huwa hawaiti watu kwenye usaili na hakuna mrejesho.Mwana jukwaa kuwa huru kutupa baadhi ya changamoto ulizopitia wakati unatafuta ajira, pengine labda itakua fundisho nasi wengine tujue namna ya kuruka viunzi hivyo. Karibu
Boss, nmekutumia ujumbe PM kwakoKwenye private nyingi wakitangaza nafasi hasa za kutuma maombi kwa njia ya email huwa hawaiti watu kwenye usaili na hakuna mrejesho.
Utajipinda kuandika application letter nzuri lakini unaambulia patupu.
Kikubwa ni kutokata tamaa. Hakikisha una CV nzuri ya kisasa inayogusa maeneo yote muhimu (impressive Curriculum Vitae).
Andaa application letter yenye kujiuza vema kwa mwajiri.
Zaidi ya yote kuwa professional (mjuzi kweli kweli) kwenye kada yako.
Tumia muda wa ziada (uwapo na nafasi) kujinoa vizuri.
Almighty God will show you a way.
Kabisa private companies kuitwa kwenye interview ni ngumu mno.Kwenye private nyingi wakitangaza nafasi hasa za kutuma maombi kwa njia ya email huwa hawaiti watu kwenye usaili na hakuna mrejesho.
Utajipinda kuandika application letter nzuri lakini unaambulia patupu.
Kikubwa ni kutokata tamaa. Hakikisha una CV nzuri ya kisasa inayogusa maeneo yote muhimu (impressive Curriculum Vitae).
Andaa application letter yenye kujiuza vema kwa mwajiri.
Zaidi ya yote kuwa professional (mjuzi kweli kweli) kwenye kada yako.
Tumia muda wa ziada (uwapo na nafasi) kujinoa vizuri.
Almighty God will show you a way.
Dunia Duara Kweli...huko Mimi kila nikiomba lazima niitwe...ishu ajira sipati...Tatizo hili ni Tangu 2004...Nimeitwa Arusha juzi sikwenda kwa hasiraKabisa private companies kuitwa kwenye interview ni ngumu mno.
Tangu 2004 au 2014 mkuu ?Dunia Duara Kweli...huko Mimi kila nikiomba lazima niitwe...ishu ajira sipati...Tatizo hili ni Tangu 2004...Nimeitwa Arusha juzi sikwenda kwa hasira
2004Tangu 2004 au 2014 mkuu ?
Duu.pole sana mkuuNiliomba kazi fulani serikalini,nikapata nikapangiwa kituo cha kazi Mkoa Simiyu, baadae nkaambiwa sina sifa siwezi ingia kwenye payroll,ya pili hivyo hivyo serikalini pia nimefanya interview zote naenda kuriport naambiwa na HR sina sifa
Nilisafiri kutoka Mbeya to Dar kwaajili ya interview kumbe wale jamaa ni matapeli na nilikutana nao Jf humuhumu, ila hawakufanikiwa kunipiga pesa waliyokuwa wanaitaka zaidi ya kunipotezea muda wa kusafiri na nauli.
Kila nikiomba kazi nakuwa shortlisted na kuitwa kwenye Interview...tatizo siitwi kwenye ajira....kero hii ni toka 2004...Ni.Private Sectors tu.Wajuvi hili ni Tatizo Gani?Nimechoma nauli Sana kusafiri mikoa mbalimbali kwa ajiri Ya Interview.
Ahsante.Nashkuru Mungu Kwa sasa nimepata kazi huko huko serikalini na nadhani hii na ina future nzuri kuliko zile nilizokosaDuu.pole sana mkuu
Nadhani alishafuta acc maana sijawahi kukutana na comment zake wala chochote humu ndani.Ungewataja ili wasije tapeli watu wengine humu.