Changamoto Ulizopitia Kwenye Kusaka Ajira

Mwana jukwaa kuwa huru kutupa baadhi ya changamoto ulizopitia wakati unatafuta ajira, pengine labda itakua fundisho nasi wengine tujue namna ya kuruka viunzi hivyo. Karibu
Kwenye private nyingi wakitangaza nafasi hasa za kutuma maombi kwa njia ya email huwa hawaiti watu kwenye usaili na hakuna mrejesho.

Utajipinda kuandika application letter nzuri lakini unaambulia patupu.

Kikubwa ni kutokata tamaa. Hakikisha una CV nzuri ya kisasa inayogusa maeneo yote muhimu (impressive Curriculum Vitae).

Andaa application letter yenye kujiuza vema kwa mwajiri.

Zaidi ya yote kuwa professional (mjuzi kweli kweli) kwenye kada yako.

Tumia muda wa ziada (uwapo na nafasi) kujinoa vizuri.

Almighty God will show you a way.
 
Boss, nmekutumia ujumbe PM kwako
 
Mwenzenu naoga traditional herbs kuweka mwili sawa

Hapa ni ziwa flani hapa Tanzania
IMG_20210605_133443_475.jpg
 
Kwenye private nyingi wakitangaza nafasi hasa za kutuma maombi kwa njia ya email huwa hawaiti watu kwenye usaili na hakuna mrejesho.

Utajipinda kuandika application letter nzuri lakini unaambulia patupu.

Kikubwa ni kutokata tamaa. Hakikisha una CV nzuri ya kisasa inayogusa maeneo yote muhimu (impressive Curriculum Vitae).

Andaa application letter yenye kujiuza vema kwa mwajiri.

Zaidi ya yote kuwa professional (mjuzi kweli kweli) kwenye kada yako.

Tumia muda wa ziada (uwapo na nafasi) kujinoa vizuri.

Almighty God will show you a way.
Kabisa private companies kuitwa kwenye interview ni ngumu mno.
 
Nilisafiri kutoka Mbeya to Dar kwaajili ya interview kumbe wale jamaa ni matapeli na nilikutana nao Jf humuhumu, ila hawakufanikiwa kunipiga pesa waliyokuwa wanaitaka zaidi ya kunipotezea muda wa kusafiri na nauli.
 
Kila nikiomba kazi nakuwa shortlisted na kuitwa kwenye Interview...tatizo siitwi kwenye ajira....kero hii ni toka 2004...Ni.Private Sectors tu.Wajuvi hili ni Tatizo Gani?Nimechoma nauli Sana kusafiri mikoa mbalimbali kwa ajiri Ya Interview.
 
Niliomba kazi fulani serikalini,nikapata nikapangiwa kituo cha kazi Mkoa Simiyu, baadae nkaambiwa sina sifa siwezi ingia kwenye payroll,ya pili hivyo hivyo serikalini pia nimefanya interview zote naenda kuriport naambiwa na HR sina sifa
Duu.pole sana mkuu
 
Ungewataja ili wasije tapeli watu wengine humu.
Nilisafiri kutoka Mbeya to Dar kwaajili ya interview kumbe wale jamaa ni matapeli na nilikutana nao Jf humuhumu, ila hawakufanikiwa kunipiga pesa waliyokuwa wanaitaka zaidi ya kunipotezea muda wa kusafiri na nauli.
 
Toa sadaka mkuu

Back
Top Bottom