Changamoto Ujenzi wa Madarasa 12,000: Ukosefu wa Wahandisi Halmashauri Baada ya 70% kuhamia TARURA

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
Asalam!

Nianze kwa kuipongeza Serikali chini ya Rais Mama Samia kwa kuipa Elimu kipaumbele hasa eneo la miundo mbinu. Hili limekuwa likisumbua kila mwaka. Tunashukuru kwa kazi hii njema.

Pili, baada ya miundo mbinu Sasa tumuombe Mama Samia Ajielekeze kwenye Walimu na Vifaa vya ufundishaji.

Tatu, nirejee kwenye utekelezaji wa mrado wa Sasa wa Ujenzi wa Madarasa. Halmashauri nyingi zilipoteza Wahandisi wa ujenzi ilipoanzishwa TARURA. Wengi walihamishwa kutoka mamlaka za serikali za mitaa kupelekwa TARURA. Na baada ya happy hakuna ajira zilizojaza nafasi hizo.

Ombi langu, patolewe kibali maalumu TARURA iachie Wahandisi hawa wazoefu katika maeneo husika katika wakati huu muhimu wa ukamilishaji wa mradi huu.

Mwisho nashauri mradi Upewe jina. Ni mradi mkubwa mno. Tuliona MMEM, MMES, etc
 
Aiseh we jamaa bhana!!

Moja, hii miradi inapelekwa kwenye maboma yaliyojengwa tayari. Sasa hayo maboma yalijengwaje kama hamna maandishi?

Majenzi ya kufuata wahandisi ni ghali sana watu wanajenga tu kwa mafundi wa Veta na madarasa yanadumu tu. Nani anataka mambo ya gharama zisiwe za lazima kama continency mara ufuatiliaji mara posho wakati village tu vijana wanamaliza kazi asubuhi tu??

Waandisi wajitafakari sana
 
Utakuwa fundi Maiko wewe, siyo bure!
Mix ya mchanga kwa simenti unaweka moja kwa kumi, kesho yake floor ni matobo matupu!
 
Asalam!

Nianze kwa kuipongeza Serikali chini ya Rais Mama Samia kwa kuipa Elimu kipaumbele hasa eneo la miundo mbinu. Hili limekuwa likisumbua kila mwaka. Tunashukuru kwa kazi hii njema.

Pili, baada ya miundo mbinu Sasa tumuombe Mama Samia Ajielekeze kwenye Walimu na Vifaa vya ufundishaji.

Tatu, nirejee kwenye utekelezaji wa mrado wa Sasa wa Ujenzi wa Madarasa. Halmashauri nyingi zilipoteza Wahandisi wa ujenzi ilipoanzishwa TARURA. Wengi walihamishwa kutoka mamlaka za serikali za mitaa kupelekwa TARURA. Na baada ya happy hakuna ajira zilizojaza nafasi hizo.

Ombi langu, patolewe kibali maalumu TARURA iachie Wahandisi hawa wazoefu katika maeneo husika katika wakati huu muhimu wa ukamilishaji wa mradi huu.

Mwisho nashauri mradi Upewe jina. Ni mradi mkubwa mno. Tuliona MMEM, MMES, etc
Mradi uitwe Covid 19
 
Aiseh we jamaa bhana!!

Moja, hii miradi inapelekwa kwenye maboma yaliyojengwa tayari. Sasa hayo maboma yalijengwaje kama hamna maandishi?

Majenzi ya kufuata wahandisi ni ghali sana watu wanajenga tu kwa mafundi wa Veta na madarasa yanadumu tu. Nani anataka mambo ya gharama zisiwe za lazima kama continency mara ufuatiliaji mara posho wakati village tu vijana wanamaliza kazi asubuhi tu??

Waandisi wajitafakari sana
Hujui unachosema mkuu jitafakari
 
Back
Top Bottom