Changamoto na msaada: Wanandoa mliwezaje kupata wenza wenu wa maisha

Mke mwema hutoka kwa Bwana. Piga magoti mbele za Bwana Yesu kristo omba akupatie mke mwema. Ila usiombe akupatie wa kufanana na wewe maana usije shangaa anakupa jini mahaba.
 
Tatizo unaingia n mtu kwenye mahusiano tena unafika nae mbali bila kumchunguza kwa kina...wanawake wapo wengi wenye mpnz ya kweli na waaminifu...inaweza ikawa vigezo vyako ndo vinakupelekea kupata type ya wanawake unaowapata
 
Mimi ni mwana JF wa siku nyingi japo niliacha kutumia JF na KUDELETE ACCOUNT 2016.
Na 2018 nilirudi kwa staili ya kusoma habari za JF kwa "KUFOLLOW LINK" kutoka FB (bila Ku log in MAANA SIKUA NA ACCOUNT TENA)...
Tuseme kwamba na wewe ni HIV +? Ili wanapokuja wajue
 
Nje ya mada kidogo mkuu,uliwezaje kuacha kazi serikani bila kufatiliwa ,na je ukikopa ukasepa je utafafiliwa nnamapango namm pia mkuu!!!nOmba ushauri hapa.
 
Back
Top Bottom