Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,943
- 0
Wasanii wetu( Music, Video) bado wanakazania kuuza CD. Muelekeo unaonyesha mauzi ya ya CD yanazidi kupungua sababuya furana teknolojia mbali mbali zinazoibuka kama
Nawapa changamoto washirikiane na wadau wajaribu kuuza kazi zao online pia.
Sasa kwa wasanii watanzania hali ni mbaya zaidi sababu mfano watanzania walio nje hawana urahisi wa kupata CD za wasanii wa kitanzania. kama mtanzania anataka kuchanagia kwa kununua kazi halali ya msanii afanyeje.??!!!!!
Hakuna jibu zaidi ya piracy sababu ndio njia iliyo accesible.
Nawapa changamoto washirikiane na wadau waangalie uwezekanao wa kuuza kazi zao
online pia. watajipataia japo visenti
- Internet na Online shipping

- Je jamii forum haiwezi kusaidia kuuza soft copy ya baadhi ya mizki wakapata % ya mauazo na msanii akapata % fulani