Changamoto : Mchakato Miundombinu

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,443
!!! Changamoto : Mchakato: Miundombinu: !!!

B_E anapomsikia mtu anaongea mojawapo ya maneno hapo juu katika kujibu hoja mara moja namwona ni mwongo na huwa naacha kumsikiliza!
 
Baba eno nusura niache kuandika post yangu nikidhani idea zitagongana
 
Upembuzi yakinifu bado unaendelea, tuko kwenye mchakato, tunakabiliwa na changamoto mbalimbali, tutahakikisha maendeleo yanapaa, tunafanya feasibility study, tunataarisha miundo mbinu.......... POLITICS tu
 
Back
Top Bottom