jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 5,682
- 7,539
Usimlete Mama yako,mlete Baba yako hapo Nyumbani,utakua umemsaidia sana Mama mkwe wako!!Yaani aisee, mpaka nimelileta hapa ujue limenizidia. Na mimi nataka nimlete mama yangu nyumbani tuone kama wataendelea na upumbavu wao