Changamoto mbalimbali sehemu za kazi: Je, nini changamoto zilizopo kazini kwako?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,344
Salaam,

Ama baada ya salamu mimi ni mzima wa siha muruwa kabisa. Hofu na mashaka ni kwako wewe keyboard worrier uliye mbali na upeo wa macho yangu.

Wahenga walisema kwenye riziki hapakosekaniki vimbwanga, vituko, mauzauza, chuki, uhasama, uadui, unafiki, urozi na mwisho wa yote hayo mkono huenda kinywani.

Kila kazi ina ugumu wake na ugomu na changamoto umetofautiana kati ya mtu na mtu na kazi na kazi.

Nakumbuka rais Magufuli alipata kusema kwamba yuko busy sana kiasi kwamba kitandani kwake yametapakaa mafaili mbalimbali yakimsubiri ayafanyie kazi.

Hadi anafariki kaacha kazi nyingi hazijaisha.

Je, wewe changamoto gani zipo kazini kwako?

IMG-20211122-WA0012.jpg
 
Hatari sana. Uwe Polisi unamkamata demu mkali na bangi utampeleka wapi? Ghetto au kituoni? Na ukute demu amekuwa akikutaa kwa muda mrefu na hiyo ndio nafasi yako pekee ya kupekecha Mbususu yake au Mbunye
 
Vyama vya wafanyakazi vimenunuliwa. Ni kero bora tu vifutwe.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom