Changamoto: Mazrui aapishwa kuwa Waziri wa afya Zanzibar; Je, Zitto Kabwe atamshawishi alete chanjo za Corona?

Aliekuambia kuwa Tanzania ina mawaziri ni nani?Unahitaji PhD kujua kuwa Rais wa Zanzibar ni Magufuli na pia Magufuli ndiye waziri wa wizara zote?Kwani hapa Tanzania bara aliekataza chanjo ni waziri wa afya?Alieleta mambo ya nyungu katika kupambana na Corona ni waziri wa Afya?Aliekataa lockdown ni waziri wa afya?Aliekataa mass testing ya Corona ni waziri wa afya?Aliekataa kurekodi vipimo vya Corona ni waziri wa afya?

Waziri wa afya huwa yupo tu ili kutimiza jukumu la kisheria la kikatiba na wala siyo kwa lengo la kubuni sera katika wizara ya afya wala kutekeleza sera za wizara!Waziri wa Afya ni Magufuli.MATAGA bhana,hizo akili huwa mnapeleka wapi?!Kwa hiyo hata nchi inavyoendeshwa kijima na kichifu hauoni?
 
Mshaambiwa hakuna chanjo ya maana mpaka sasa, ila siyo tabu, wanayoililia waende SA au hapo KE zimejaa tele..
 
Back
Top Bottom