Changamoto kwa watumiaji wa JF

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,358
4,304
WanaJF

Katika soma soma yangu humu, nakutana sana na comments za kidini au udini. Mimi huingia kupata mawazo mapya, kuona watu wanavyojenga hoja, wanavyokata issues. Kwa ufupi huingia kutafuta elimu, kujifunza, kuchangia mawazo.

Lo, Loo! Aisee!! Unakutana na avatar za kusisimua mwili kama zile za vilemba vya mabomu, mama wowowo, za mrembo anayekonyeza nk, vituko tu.
Wakati nyengine zinaleta uchangamfu na tabasamu, kuna nyengine zinaleta maudhi, karaha.

Uje kwenye matumizi ya lugha , hapo ndio utapata kichefu chefu. Yaani! we wacha tu. Ni imani yangu kuwa wengi humu ni watu wazima na wenye akili timamu lakini kwa nini wanafanya mambo ya kitoto? Wanashindana nani mwenye lugha kali zaidi, nani anamsamiati bora wa kejeli na matusi. Kutambiana na kejeli ndio zipo nje nje. "Great thinkers" munaichakachuwa JF au hamulioni hili? Ungetegemea "Great thinkers" kushusha hoja. Unampa mtu hoja, munajadiliana mpaka mmoja ana-concede bila ya kuchafuana.

Mijadala ya kidini si kitu kibaya, nayo imeekewa jamvi, sehemu ,forum yake. Lakini Malumbano ya kidini au udini katika kila thread hauleti tija yoyote, isipokuwa kudharauliana, kujinasibu na kujivuna.

Hapa JF mvutano mkubwa unaonekana upo baina ya kambi mbili kuu; waislamu na wakristo au vizuri zaidi kusema wapenzi, washabiki wa dini ya kikristo na uislamu. Watu wamegeuza dini kuwa ni ushabiki wa simba na yanga.

Kwa ufahamu wangu ,dini hizi mbili chanzo chake ni bara la asia (Eastern religions) kama zilivyo all major religions in the world. Zimeanzia huko, zimetufikia sisi huku kwa kuletwa na watu waliofanya maingiliano, mahusiano nasi. Kama wewe ni m-bantu safi dini yako ni dini ya asili (traditionalist). Kama unaji-associate na mzungu zaidi ni wazi kuwa utakuwa unaamini ukristo na kama unajiassociate na mwalabu(mwarabu ) ni wazi kuwa utakuwa ni muislamu.

Wengi wetu hapa tumejikuta tunafuata, tunarithi dini tulizowakuta nazo wazazi wetu na wachache kati yetu huamua kubali dini hizo (Kubatizwa , kuokoka au « kuchilimichwa »,kusilimishwa) tunapopata sababu za msingi kufanya hivyo.

Kwamba wewe ni muislamu au mkristo haikufanyi kuwa wewe ni bora zaidi kuliko mwenye dini tofauti na yako.Kweli kibinadamu , kila mmoja atamshangaa mwenzake kama vile watoto wa kizungu hapo zamani walivyojaribu kumpangusa ngozi mtu mweusi kuona kama rangi yake inatoka.
Ukweli utabaki kuwa binadamu ni binadamu, mtu ni mtu, regardless kama ana dini au hana, kama ni mkiristo, muislamu, mhindi, myahudi, m-budda,mwenye dini ya asili , humanist au pagani.

Dini ni imani na imani ni kama bahati nasibu. Muislamu anayakini kuwa dini yake ndiyo sahihi, Mkristo anaamini kuwa dini yake ndio sahihi, vivyo hivyo kwa mhindi au m-budda, au traditionalist. Utakapomkejeli au kumtusi mtu dhidi ya dini yake, utampandisha hasira na ugomvi utaanza.
Sasa ugomvi wa nini kwa vitu vya kufikirika ? Jiaminie, jiaminishe utakavyo na uridhike na imani yako. Utajuana mbele kwa mbele huko wewe na muungu wako.

Kwa nini mtu haridhiki na dini yake na kushughulikia dini yake ? Kuna ulazima gani kuwa watu wote wafuate au waaminie dini yako ?

Dhana ya ucha mungu ina maana zaidi linapokuja suala la dini, na haiwezekani kwa mcha mungu awe anatukana, anadharau au kukejeli wenzake au wasio wa dini yake.
Si tunajuwa katika uislamu wako, masunni, mashia, ahamadia, masufi, mawahabi nk, na katika ukristo wako ma-coptic, wakatoliki,walutheri, waanglikani, walokole, wa-mormon nk.
Utawakejeli wangapi ? Utawadharau wangapi ? Na ni faida gani unayoipata ?

Tuingize ucha mungu katika imani zetu na sio ushabiki. Ukiingiza uchamungu utamuheshimu mwenzako, ukiingiza ushabiki utamsimanga, utamkejeli na utamdharau mwenzako. Mutajenga uhasama wa bure.

Tuchunge ndimi zetu ! Heshima ni kitu cha bure ! Jiheshimu, uheshimiwe !
Zungumzeni kwa heshima, jadilianeni kwa upole na hekima !
Waswahili husema « lugha tamu, maneno matamu, maneno mema humtoa nyoka pangoni »

Tujirekebishe jamani ili hadhi ya JF isididimie, watu wajeJF kuchota elimu, wafurahi.

Na Tanzania ina watu wa dini tofauti na wasio na dini, ni yetu sote.
 
Udini unachochewa na wale wenye fikira za udini kama wewe mimi sijawahi kuwaza udini hapa![

Kwanza hapa sio mahala pake - ungeiweka kwenye complaints. Pili, hapa una maana gani kusema "avatar za kusisimua mwili kama zile za vilemba vya mabomu" Ni hii hapa?
avatar27298_12.gif

Pia umesoma 'rules' za JF ukakuta hayo unayoyasema hayapo? Nafikiri ungeanza kwa kutoa mfano wa namna ya kutelemsha mada kwa mtiririko wa kifalsafa.
Mwisho, hii post yako inaongelea dini, sasa unaonaje ukatafuta nafasi kwenye vyuo au shule ya kufundisha machimbuko ya hizi dini hapa duniani?
 
Udini unachochewa na wale wenye fikira za udini kama wewe mimi sijawahi kuwaza udini hapa!

How did i get involved?Anyway what the man is saying ni kwamba kama,narudia kama kuna udini 2natakiwa tuache na akajaribu kuonesha pale alipoona baadhi ya wa2 wametanguliza udini,kama wewe hujawai ona wala kufanya udini humu ndani Fine.Ila wapo wanaoendekeza udini hata sehem ambazo hazitakiwi.hao ndo anawaambia waache.
 
Kwanza hapa sio mahala pake - ungeiweka kwenye complaints. Pili, hapa una maana gani kusema "avatar za kusisimua mwili kama zile za vilemba vya mabomu" Ni hii hapa?
avatar27298_12.gif

Pia umesoma 'rules' za JF ukakuta hayo unayoyasema hayapo? Nafikiri ungeanza kwa kutoa mfano wa namna ya kutelemsha mada kwa mtiririko wa kifalsafa.
Mwisho, hii post yako inaongelea dini, sasa unaonaje ukatafuta nafasi kwenye vyuo au shule ya kufundisha machimbuko ya hizi dini hapa duniani?

Mwanamayu,

Ungeisoma yote, na kujaribu kuifahamu yote kwa ujumla wake hiyo sehemu iliyokugusa wala usingekuwa mkali, mkuu.

Umeamuwa kwa makusudi kuipa maana ambayo haipo hapo. Ukitaka hicho kipande kiwe na right context ni lazima uisome kuanzia ;

Lo, loo…………hadi inapoishia na….. , vituko tu. Vyenginevyo sentensi itakuwa out of context.

Pili, nimetumia kusisimua mwili kwa maana kuwa inaleta hisia ya furaha, au kuogopa na wakati mwengine unaachwa kwenye mataa, ung'amue wewe mwenyewe.

Ile niliyoitolea mfano pale ni ya member; Quinine, sio avatar ya hashycool na zile nyengine nilizozitaja pale ni za member hawa ; ezan na Rose1980

Lakini hebu angalia avatar za hawa ; The Finest, mgt-software,MSWATI 111, Guijin, Fidel80, Katavi, Iza, Shemzingwa. Ndio nikasema ni vituko tu, nyengine zinafurahisha nyengine zinaudhi.

Mwisho, angalia avatar ya Mkeshahoi.Jee unapata reaction gani?

Mwili umejisikiaje? Umefurahi? Umecheka? Umetikisa kichwa? Umeudhika? Au indiffferent?

Malizia na za hawa jamaa; Eng.smasher, chokambayaa na Baba_Enock.

Mada yangu haikuwa na maudhui ya kulalamika bali ilikusudia kutoa ujumbe kwa wale wanaoingiza udini au kuingiza hoja za kidini hata kwenye mada ambazo hazizungumzii dini kuwa wanaacha njia, wanakoelekea siko.

Siku njema, Mkuu.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom