Changamoto Kwa wale ambao wanafunga

Stable lady

Member
Jun 25, 2016
73
82
Kwawahusika, huu mwezi ni wakusame na toba navingine, ebu twelezana changamoto hasa katika uhusiano Kwa wale wenziwawo ni imani tofauti au mambo mengine kama utandawazi.

Binafsi kuna mchepuko unaniesabia viungu utafikiri unausika nakufunga, hata umwelezeje kwamba ni haram kukutana atakama ni story hanielewi. nkasema potelea popote mimi msimamo wangu uko pale pale
 
Jamaaa ataka kugegeda hahaha...sipati picha atakavyo sugua papuchi mfungo ukiisha
 
Mchungaji alisema Kuuwaza tuu mchepuko ni dhambi.


So unatenda dhambi mwezi mtukufu
 
Mwenyezi mungu atusamehe makosa yetu tunayo yajua na tusiyo yajua khasa kwenye kumi hili la mwisho Ameen..
 
Kwa hiyo umesitisha huduma kwa mchepuko ili ufunge, mfungo ukiisha utarudi tena kwa mchepuko wako?

Usikute huo mchepuko ndio unalipia futari na daku yako . I'm not judging lakini nadhani tunamchezea Mungu sharubu.
Mungu yupi huyo mwenye sharubu?
 
Kwa hiyo umesitisha huduma kwa mchepuko ili ufunge, mfungo ukiisha utarudi tena kwa mchepuko wako?

Usikute huo mchepuko ndio unalipia futari na daku yako . I'm not judging lakini nadhani tunamchezea Mungu sharubu.
huu unafiki wa kuacha kufanya dhambi mpaka Ramadhan iishe siupendi sana,kama bado unataka kufanya dhambi fanya tu,ukiwa tayari kuacha acha maramoja na usirudie tena
 
We endelea na mchepuko...si unajificha?? Mnagegedana weeeee!! ukirud hom mkeo anakupa futar unafuturu kwa raha zako.
 
#Inalilaah wa inalilaah rajuun#Huu ni msiba Allah atusamehe madhambi yetu. Mwezi mtukufu ni shule na utofauti wake na shule zingine ni kuwa wenyewe unasoma muda mchache na unafanya mtihani kwa muda mrefu. Tofauti na shule ya darasani ambayo unasoma kwa muda mrefu na unafanya mtihani kwa muda mfupi.

1. Funzo la kwanza la mwezi mtukufu ni #Huruma# unapofunga unajifunza kwamba tangu asubuhi hadi jioni hujapata chakula, kipo ila umeharamishiwa kula, je kwa yule ambae hana kabisa ni masikini ama fukara hajakipata. Ile tabu uipatayo linganisha na ile apatayo fukara kila ck katika maisha yake so hapa tunajifunza kuhurumiana katika maisha na kuwasaidia wasiojiweza. Unajifunza funzo hili kwa cku 30 ama 29 na kufanya mtihani wake kwa ck 300 zilizobaki katika mwaka.

2. #Kumuogopa Mwenyeazi mungu# kwa kufunga unafunga kula kunywa na matendo yote machafu tuyafanyayo mim na wew kila ck katika maisha yetu pamoja na kusengenya na uasherati na uzinzi. Funzo hili nalo ni kwa siku 30 ama 29 ila tunafanya mtihani kwa ck 300 zilizobaki kabla haijaingia ramadhani nyingine kusoma tena.

3. #Fungamana na swala# kusimamisha swala ni nguzo moja ya uisilamu na sifa ya muumini mbele za Allah katika mwezi mtukufu wa ramadhani tunajikumbusha ama tunasoma swala kwa kujitahidi kuswali na kusimamisha swala kwa kuswali kila vipindi na kuongeza ukiwa na uwezo swala za suunna na taraweeeh. Nayo mafunzo kwa ck 30 ama 29 ila mtihani ck 300.

4. #Kutoa swadaka# katika mwezi mtukufu tunapata funzo la kutoa swadaka na zakka mara kwa mara nalo mafunzo ck 30 ama 29 na mtihani ck 300.

Sasa kwa mtoa mada naikumbusha nafsi yako na kuikumbusha yangu na wengine tumche Allah na tumuogope kwa adhabu zake. Na jitahidi funzo namba tatu tulifanyie kazi linaonekana kukushinda mwenzangu
 
Back
Top Bottom