Annonymous

JF-Expert Member
May 9, 2013
448
799
Wajuvi wa mambo vipi mbona kumekuwa na changamoto sana katika hiz ajira za TAmisemi mpaka inaleta hali ya kuhisi kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia. naanza kupata hisia kuwwa huwenda pazia limeandikwa kuwa wote wenye vigezo wanaweza kuibgia ila nyuma ya pazia kuna ukuta na wala sio mlango.

kauli hyo inakuja kutokana na changamoto nyingi nnazoziona katika hizi ajira ikiwa na matatizo ya kmfumo na mawasiliano ambayo TAMISEMI wmeweka kuwasiliana nao in case of problem hizo namba ukipiga muda wote zinatumika hata sa8 usiku zenyewe ziko busy na hazipokelewi.

Najaribu kuwaza kwa sauti kuwa kampuni ya vodacom ina ateja milion 28 Tanzania nzima ila ukipiga simu muda wowote unapokelewa na kuongea nao na shida yako inashughulikiwa. vipi kwa upande wa Tamisemi ambao watu wanaowapigia hawafiki hata million 5 kuwa muda wote mawailiano yao yako busy hata saa 8 usiku.

mimi naamini zaidi katika transparecy (uwazi) wa serikali ndio thibitisho la uwepo wa utendaji wa kweli lakini kunapokuwa na fikinyu fikinyu inanipa imani kuwa kuna kitu kinafichika nyuma ya pazia
mtaani kuna stories kuwa wiki moja abla ya kutolewa kwa tangazo la ajira kuna maelekezo yalipelekwa kwa wakuu wote wa shule za sekondari na msingi kuwataka kutoa taarifa za walimu wanaojitolea katika shule zao na kuwa hao ndio kipaumbele- hatujakataa ni ndio
ila swali ni kuwa kwanini system inagoma kuingiza baadhi ya taarifa

hivi juzi alhamisi ya tarehe 13 niliandika juu ya changamoto ya kutotambulika kwa faculty ya education katika chuo cha kikatoriki cha mwenge (MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY) na kuwa hata if faculy ya education in science pia haina masomo yoyote yale. baada ya kuandika ni kweli chuo cha mwenge kiliwekewa hyo faculty ya bachelor of arts with education lakini still haina (kozi) masomo yoyote yale. kwa asiyefahamu ni kwamba vyuoni kuna faculty ambayo ni sawa na combination ya masomo katika shule za sekondari. mfano mwanafunzi unamwuliza unasoma "kombi" gani anakjibu anasoma kombi ya "arts" sasa kombi ya Arts ina masomo kama vile history, english, kiswahili na geography pia. sasa katika shule za sekondari kombi ni sawa na faculty kwa chuo na hayo masomo ni kozi kwa chuo
sasa system mwanzo system ya tamisemi ilikuwa haitambui kuwa chuo cha mwenge kina faculty ya Arts ila sasa yamewekwa shida ni kwamba imewekwa faculty (kombi) ila maosmo ya kombi husika hayapo

shida kubwa ni
1. baadhi ya faculties hazina kozi zake mfano faculty ya bachelor of arts with education ya mwenge catholic university haina kozi kama inavyooneshwa katika picha namba 2 hapo chini
2. kuna form 4 index numbers zinagoma zinadai details ziko mismatched mfano shule ya nzega secondary school waliomaliza 2013

uwepo wa bachelor of arts.jpg


hakuna coz ya education.jpg
 
Manatuchosha bhna..hata kuandika hujui ndio unataka ajira ukafundishe watoto wetu kama sio kwenda kuwatia ujinga tu zaidi..nyie ndio mnao aibisha taaluma ya ualimu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama kuandika kwenyewe kuna kupa taabu lazima mfumo nao ukugomee tu maana hamna namna nyingine!
 
Mkuu changamoto ni zipi hapo usaidiwe?, jitahidi kuzi ainisha angalau kwa mtiririrko kuelekea chini yaani ziweke hivi (angalia hapo chini)
-
-
-

Ili usaidike na siyo kulaumu haitakusaidia kitu Mkuu.

Pia eleza hapa ulikuwa unataka kuwaambia hao call centre wakusaidie issue gani huwenda ukasaidika huku pia ndugu
 
Mkuu unaonekana wazi bado huna ajira hadi unafuatilia kuwa wakuu wa shule walipewa taarifa wiki moja kabla!!??

Nakushauri fanya Mambo yako, wanadamu hutawaweza, aliwashindwa YESU Pamoja na mafundisho yake aliishia KUSULUBIWA, na mpaka leo hajarudi. Na sijui Kama atarudi kweli!!! Au laah. Mkuu fanya yako.
 
Back
Top Bottom