Changamoto gani utakutana nazo kwa kuoa au kuishi na Mwanamke mwenye mtoto?

Mwanamme anayefika 35+ hajaoa, chances are ni msomi au mtu fulani siriazi mwenye kujiandaa…. huyu mtu ataoa msomi mwenzie ambao wanatoka Chuo na miaka 25 hadi 28 ya kujipanga kimaisha.

Wanaozalishwa mapema ni wale wanawake wa kawaida tu ambao ni wengi, yote kwa yote hakuna sheria ya umri….. ni kuchagua tu.
yupo mwingne ambayo ana miaka 40 lakini marital status yake inasoma single kwasabu za kuachana na aliyekuwa mwenza wake au kifo.

40+ man, maranyingi utaoa tena rika la x wako..ambao wengi wamezaa.

Pili aliyezaa ni rahs kuwa na tolerance ya kukaa na mtoto/ watoto ataowakuta kuliko fresher.
 
Teenagers ndiyo wenye kiburi cha kusema sioi/siishi na mwanamke asiye na mtoto, kwakua wana uhakika wa kupata mwanamke chuchu konzi ambaye bado hajazaa.

Wanaume wenye umri kuanzia miaka 35+, ni nadra kupata mwanamke hajazaa, kwakua wanawake saizi yao wanakua wameshazaa.

Hizi kauli za sioi mwanamke aliyezaa, ni za vijana wa umri mdogo, watu wazima oeni tu mwanamke aliyezaa, hakuna namna
Hakuna namna kivipi mkuu...
 
Mi nikutane n mwanamke afu aanze stori mwanangu anaumwa nampotezea
Mimi nishaaahi chukua namba nikawa namcheki kimtindo mtindo..siku nimevuta waya nauliza upo wapi? Nimetoka hospitali... Ulikua unaumwa? Hapana,mwanagu ndo anaumwa..daah sikuamini binti alikua mbichi mbichi ikabidi niunge hivyo hivyi aisee...😂😂😂
 
Habari wakuu,

Hapa nakusudia mwanamke mwenye mtoto ambaye si wako, Mtoto ambaye kwa kiasi kikubwa bado anahitaji ukaribu na mama yake.

Nimeshuhudia ndoa ya Jirani yangu ikiyumba baada ya mtoto wa miaka takribani miwili na nusu au mitatu Kuletwa nyumbani na mkewe kwani wamekaa wastani wa miezi 3 bila ya mtoto huyo kuwepo.

Tatizo ninaloliona ni utundu wa huyo mtoto ambao wakati mwingine unasababishwa na kudekezwa na mama yake.

Mfano siku moja aliiburuza chini Iphone ya baba yake mlezi, akafokewa na baba huyo, Jambo hilo lilisababisha mama akasirike kwa madai kuwa baba hampendi mtoto.

Je changamoto gani nyingine za kuoa mwanamke mwenye mtoto mdogo?

========
Tatixo watoto wa kambo wakishakua wakubwa wanaanza madharau wakishajua wewe sio Baba yao
 
Ni shughuli nzito,tena nzito!!mambo lukumba lukumba na usiombe yakukute...wanasumbua balaa kwa hio case ya jamaa
 
Kuoa singo maza ni sawa na kunywa soda uliyoikuta imefunguliwa na kuachwa.
mnawaandama masingo maza sana.. afu watu mnaosemaga hivi ndo badae mnajikuta mnaoa haohao masingo maza uliza wenzio waliooa singo maza kama walitarajia
 
Kuishi Na mwanamke mwenye mtoto au asiye Na mtoto yote ni sawa,
Itategemea Na mwanaume anataka akili yake iwaze Nini,
Ila tambua wanawake ni kama watoto ukiwajulia Wala hawakupi shida,
Wahi kumsoma mwanamke unayetaka kuishi Naye kabla yeye hajakusoma!
You are such a good man.🥰🥰🥰🥰🥰
 
mnawaandama masingo maza sana.. afu watu mnaosemaga hivi ndo badae mnajikuta mnaoa haohao masingo maza uliza wenzio waliooa singo maza kama walitarajia
Kazalisha sana hajawaoa ivo ana haki kutudharau kupitia wao
 
Teenagers ndiyo wenye kiburi cha kusema sioi/siishi na mwanamke asiye na mtoto, kwakua wana uhakika wa kupata mwanamke chuchu konzi ambaye bado hajazaa.

Wanaume wenye umri kuanzia miaka 35+, ni nadra kupata mwanamke hajazaa, kwakua wanawake saizi yao wanakua wameshazaa.

Hizi kauli za sioi mwanamke aliyezaa, ni za vijana wa umri mdogo, watu wazima oeni tu mwanamke aliyezaa, hakuna namna
Nna 36+ na nna binti ana 23+ anataka nimuoe na nimemtoa Bikra mwenyewe nna watoto wawili na anasema yupo tayari kuwalea maana kishazoea kulea watoto na huwa anapenda watoto(alikuwa analea watoto wa dada yake anaporudi likizo)

Ni binti flani hivi ambaye hana njaa njaa kupanda ndege kwenda zenji hapo ni kitu cha kawaida sana kwake(alipokuwa anasoma)

Nimeshaenda nae mpaka kwa mzazi mwenzangu anachotaka kukifanya sasa ni kuchukua nyumba nzima kisha achukue na wanangu tuishi wote ili kupunguza usumbufu wa mzazi mwenzangu kuhusu matumizi ya watoto

Ni binti mdogo lakini ana akili sana amesoma dini sana mpaka kupata mwaliko wa kwenda nje ya Afrika

Anasifa nyingi sana nzuri

Kifupi akili yake haiendani na umri wake

Nilichogundua Baba yake alikuwa ana akili sana maana Dada zake wote vichwa panzi ila yeye ndo kafuata kwa Baba maana baba yake alikuwa ana hekima na Busara
 
Tumechoka kuwalelea kama vipi mlee wenyewe sio mnajua kujaza mimba tu kwangu mm haipo ukimwacha na mtoto hesabu huna chako hata ufanyeje
We unazungumza tu bro,ila uhalisia mtoto mwenyewe atakuonesha akishaanza kujua tu wewe sio chimbuko lake
 
Nna 36+ na nna binti ana 23+ anataka nimuoe na nimemtoa Bikra mwenyewe nna watoto wawili na anasema yupo tayari kuwalea maana kishazoea kulea watoto na huwa anapenda watoto(alikuwa analea watoto wa dada yake anaporudi likizo)

Ni binti flani hivi ambaye hana njaa njaa kupanda ndege kwenda zenji hapo ni kitu cha kawaida sana kwake(alipokuwa anasoma)

Nimeshaenda nae mpaka kwa mzazi mwenzangu anachotaka kukifanya sasa ni kuchukua nyumba nzima kisha achukue na wanangu tuishi wote ili kupunguza usumbufu wa mzazi mwenzangu kuhusu matumizi ya watoto

Ni binti mdogo lakini ana akili sana amesoma dini sana mpaka kupata mwaliko wa kwenda nje ya Afrika

Anasifa nyingi sana nzuri

Kifupi akili yake haiendani na umri wake

Nilichogundua Baba yake alikuwa ana akili sana maana Dada zake wote vichwa panzi ila yeye ndo kafuata kwa Baba maana baba yake alikuwa ana hekima na Busara
Sasa wewe ndio utakuja kua kichwa panzi,kama hao dada zake....mambo yakigeuka unafikiri kila siku ni dhambarau,kuna siku utaiona ni bluu mzee hongera kwa sasa
 
Back
Top Bottom