Doctor Stranger
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,202
- 6,143
Kwa upande wangu nimenusurika kifo zaidi ya mara tano
1. Kuangukiwa na kifusi; nilipona kwa sababu ilikua zamu yangu kununua mafuta kwahiyo nilitoka kwenda kununua kijijini. Mwenzetu mmoja alibaki kwenye shimo alifukiwa akafariki.
2. Kuvamiwa na majambazi, walitushambulia na bunduki ingawa hamna aliyedhurika
Sitaelezea yote maana ni mengi mno!