Eizyek
JF-Expert Member
- Aug 12, 2019
- 800
- 2,767
Habari za asubuhi wakuu, uzi huu ni kwa ajili ya kupeana moyo kwamba kufeli shule sio kufeli maisha,
Nakumbuka niligeuka house boy nyumbani kazi zote nilifanya mimi hadi kuosha vyombo huku madogo wamekaa tu kilikuwa kipindi kigumu kwangu, ila Mungu hakunyimi vyote mtaani kumenifaa sa hivi nikienda nyumbani naitwa baba.