Changamoto gani ilifanya uache kazi yako?

Oct 29, 2020
67
125
Habari wanandugu.

Maisha yana changamoto nyingi sana. ila leo nataka tujadili juu ya changamoto tunazozipata juu ya ajira zetu na kupelekea hata kuacha kazi yenyewe.

Mimi binafsi kama Engineer mjanja niliachana na ajira yangu ya kwanza sababu ya maslahi nafanya kazi kubwa tofauti na ninachokipa na kila nikimpanga boss anajifanya anielewi nikaforce kutafta kazi kwingine nilivopata ndiyo nikaacha kazi ila mpaka leo wafanya kazi wenzangu wananikubali na wanaona pengo langu.

Wadau karibuni kazi uzi huu tupeane changamoto zinazofanya tuache kazi.
 

Simba Forever

JF-Expert Member
May 4, 2021
856
1,000
Uchawi uchawi uchawi... Ilifikia hatua nikifika getini tu kichwa kinaniuma sana, nikirudi tu kichwa kinapoa na kuisha maumivu kabisa.

Nikaona hii sio kawaida.
 
  • Thanks
Reactions: _ly

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom