Changamoto 10 zinazosababisha watu kutokuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi. Na nini kifanyike?

Iziwari

Member
Jun 5, 2021
49
47
1. Umbali


Kutokana na umbali ulipo kati ya mataifa mbali mbali. Ni vigumu kupata na kuanzisha mawasiliano na wasafirishaji kwa haraka na ukaribu. Wanunuaji na wauzaji huwa mara nyingi hawapati mda wa kukutana na mawasiliano binafsi huwa sa nyingine ni vigumu.

Umbali pia husababisha kuwe na mda mrefu kwanzia mda ulioweka oda mpaka mda utakao pokea risiti.

Kwa wale wanaoanza katika swala la usafirishaji kutoka mataifa ya mbali. Huwa katika hatari ya gharama kubwa ya usafirishaji na hatari nyingine zitakazojitokeza.



Lakini kupitia AA TANCH Company tunaweza kukuondolea matatizo yote. Yanayotokana na changamoto za umbali. Kwa kukusafirishia vifaa na bidhaa zako kwa usalama Zaidi na umakini.



2. Tofauti za lugha.
Lugha tofauti zina ongelewa na kuandikwa katika mataifa tofauti. Pia bei za bidhaa zinaandikwa kwa lugha tofauti tofauti. Matangazo pia kwenye nchi za wenzetu yanaandikwa na kutangazwa kwa lugha mbali mbali.

Kwa mnunuaji na muuzaji anaetegemea soko la nje. Sa nyingine ni lazima ajuane na mtu ambae yupo katika nchi ambayo unategemea kuanzisha mawasiliano ya kibiashara.

Kutokana na changamoto izo za lugha watu hutegemea makampuni yaliyowekeza katika usafirishaji wa bidhaa kutoka mataifa ya nje. Na Moja ya kampuni inayojulikana Zaidi ni kampuni ya AA TANCH TRADING Company. Wasiliana nasi ili tukusafirishie na kukufikishia bidhaa yako hadi mlangoni kwako kwa urahisi Zaidi. Changamoto nyingine huwa ni.

3. Ugumu katika mawasiliano na usafirishaji.
Kupeleka na kupokea risiti za vitu mbali mbali. Huwa inachukua mda mrefu na sa nyingine hupelekea gharama kubwa. Kwa wale wasafirishaji wanao anza. Pia kwa kipindi cha matukio ya vita na changamoto zingine kama magonjwa na za hali ya hewa hupelekea kuongezeka kwa gharama Zaidi katika usafirishaji.

Haya yote yanaitaji watu wanaosoma. Na kufwatilia kwanza kama kuna uwepo wa changamoto yoyote ili kufanya maamuzi sahihi. Lakini kwanini usumbuke kufanya yote haya kama mfanyabiashara?. Kupitia AA TANCH TRADING Company tunakuachia uhuru wako. Na tunahakikisha tunakufikishia mzigo wako. Bila kuhangaika na changamoto zote izo mwenyewe.

4. Kukosa taarifa kutoka kwa wafanyabiashara wa nje.


Kutokuwepo kwa taarifa za moja kwa moja kati ya wafanyabiashara.Na mawasiliano ya karibu baina ya wauzaji na wanunuaji wa bidhaa mbalimbali. Hatua Madhubuti ni lazima zichukuliwe ili kuhakikisha udhamini wa deni kwa wanunuaji wa nje.

Nikimaanisha kuwa kama ikitokea tatizo lolote. Mnakua tayari mlishakuwa na makubaliano ya kimkataba ili kuweza kuendesha biashara zenu vizuri. Sa nyingine ni vigumu kupata taarifa zilizo sahihi za nafasi ya kifedha ya mfanyabiashara wa nje. Na msimamo wa wasafirishaji wa nje. Hii husababisha ugumu kwa wale wanaoanza biashara ya usafirishaji kutoka mataifa ya nje.

Na kutokana na changamoto io watu hutumia kampuni zilizo sajiliwa kufanya biashara hio ya usafirishaji. kampuni iliobora Zaidi ni kampuni ya AA TANCH TRADING Company.



5. Vikwazo vilivopo vya kuagiza bidhaa kutoka nje.
Kila nchi huwa ina chaji kwa ghrama tofauti ili kulinda wazalishaji wa viwanda vya ndani. Pia ushuru huwa unawekwa kwenye usafirishaji wa malighafi. Hii upelekea wanunuzi na wasafirishaji kupokea vikwazo katika swala zima la ukataji wa ushuru.

Hapa wafanyabiashara hujikuta wanatakiwa kujaza mikataba mbali mbali na kufata taratibu ilizowekwa. Ikiwemo kanuni sheria na taratibu muhimu . Na kanuni na sheria izi zinatofautiana kwa kila nchi, na zipo zinaendelea kubadilika kilasiku.

Ivi vikwazo vyote huwa rahisi kuendana navyo kama unafanya biashara ya kuagiza mizigo na bidhaa kutoka nje na kampuni yetu ya AA TANCH Trading Company. Pia changamoto nyingine ni.



6. Nyaraka
Kwa waagizaji na wauzaji wa bidhaa nje wanatakiwa kuandaa nyaraka mbali mbali zinazohusika na matumizi thabiti ya mda na ela.



7. Kusoma na kulielewa vizuri soko la nje.
Kila soko la nje lina sifa zake tofauri. Mahitaji yake tofauti, uzito wake, vipimo vyake na mahitaji yake ya kimasoko. Kusoma kwa upana kuhusu masoko ya nje ni muhimu sana kwa mafanikio thabiti ya usafirishaji wa bidhaa kutoka nchi za nje. Kama China Dubai Japan na South Africa.

Sa nyingine ni ngumu sana kupata taarifa sahihi na za mda sahihi kuhusiana na soko husika. Sana sana kwa wale wanaoanza kutumia masoko ya nje kuagiza bidhaa mbali mbali.

Ndio maana nakukumbusha kuwa njia rahisi ni kutumia kampuni yetu ya AA TANCH Trading ili kufikia malengo yako yote bila kupitia changamoto kama izi.

8. Tatizo la malipo


Kama tuvojua wengi wetu tumezoea kutumia malipo kwa njia ya mitandao ya simu. Na ni mara chache sana kukuta mtu analipia mtandaoni kupitia kampuni nyinginezo kama paypal ili kununua vitu kutoka nchi za nje. Nikimaanisha kuwa soko letu la ndani linategemea sarafu ambayo ni TSH tu. Lakini masoko ya nje huenda na sarafu zao ambazo zimepangwa.

Hii hupelekea changamoto kubwa katika swala zima la malipo ya bidhaa kutoka nje. Na ni muhimu kuwa na kampuni inayoaminika kukushikia pesa yako na kufanya malipo yenye uhakika wa kufikisha bidhaa zako kama AA TANCH TRADING Company.



9. Mabadiliko ya mara kwa mara katika masoko


Ni ngumu sana kujua mabadiliko yanayotokana na mazingira ya usafirishaji na usambazaji kwa nchi za nje. Gharama za huduma ya usafirishaji na usambazaji wa bidhaa mbalimbali kutoka nje zinabadilika mara kwa mara.

Mabadiliko hayo hutokana na ushindani uliopo katika masoko.Pia Mabadiliko yaliopo katokana na mahitaji mbalimbali ya wanunuzi. Na mabadiliko yanayojitokeza katika kiwango cha kuagiza mizigo kutoka nje. Na kushuka kwa thamani kwa bei ya kubadilishia.



Mabadiliko haya tumeyataja hapo ili wewe kama muagizaji iwe rahisi kujua kwamba ukichagua kampuni ilio sahihi ndipo utakapo epukana na changamoto zote izo.

Chagua AA TANCH TRADING COMPANY ni kampuni iliobobea katika maswala ya usafirishaji TANZANIA.

10. Kuto kujua kampuni sahihi ya kuitumia kuagiza bidhaa kutoka nje.
Ni kampuni ipi inanifaa na inatambua mambo yote ntakayo itaji kabla na baada ya kuagiza bidhaa mbalimabali kutoka nje?

Pia ni kampuni ipi ambayo inajali na kumshauri mteja wake kabla hajaagiza bidhaa kutoka nje?.

Na ni kampuni ipi ambayo inaweza kumfikishia mteja wake bidhaa alioagiza kutoka nchi alioagiza hadi nyumbani kwake?

AA
TANCH TRADING Company inakupa urahisi Zaidi wa kuagiza bidhaa kutoka nchi za
nje. Bila kupata shida yeyote. Na inaweza kukushauri na kukuandaa kuwa
mfanyabiashara mkubwa Zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom