Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu

Changamoto kubwa hata haistahili kuwekwa kwenye mtiririko huo maana iko na upekee wake nayo ni UVCCM..hivi vijamaa vikijitambua tu hata wazee wao watakaa sawa..
 
11. USALAMA. wakabaji, wizi, vibaka, matapeli, majambazi, ni changamoto kubwa sana kwenye jamii yetu. Kuna mitaa hapa nchini hata mchana mtu anapigwa kabari, cha kushangaza askari wapo makini sana na wapinzani wa serekali kuliko hata hao watu wanaleta madhara kwenye jamii.
 
Back
Top Bottom