Chang'aa noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chang'aa noma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Aug 19, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wanawake wa kijiji fulani nchini kenya wameandamana kwenda nyumbani kwa muuza chang'aa mmoja na kumpa kipigo pamoja na kuharibu makazi na mitambo yake ya kutengenezea hiyo pombe.

  Wanawake hao walidai kwamba huyu muuza chang'aa ndiyo sababu ya waume wao kuondoka nyumbani alfajiri na kurudi usiku wamelewa chakari.
  "Waume zetu wanashindwa kuhudumia familia zetu sababu ya chang'aa, watoto wetu kabla ya kwenda shule lazima wapitie kwa huyu mama, wanapewa chang'aa kwa mifuko ya plastic ,wanalewa ndo wanaenda shule", walisema akina mama hao.
   
Loading...