Changa la Macho..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changa la Macho.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bushbaby, May 19, 2011.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Serikali ya Tanzania kupitia waziri wa mambo ya nje imewaambia Waingereza waharakishe malipo ya fidia ya Paund Milioni 29 kwani wanataka kununua navyo vitabu na madawati......

  alisema hivi.....

  ┬ôSerikali ya Tanzania ilikusudia kutumia fedha hizo kununua jumla ya vitabu milioni 4.4 kwa ajili ya shule za msingi, vitabu vya miongozo ya mitaala 192,000 kwa ajili ya masomo 12 katiak shule 16,000, kununua madawati 200,000 kwenye shule zilizo na upungufu wa madawati na kujenga nyumba 1,196 za walimu katika wilaya zote nchini, kujenga vyoo 2,900┬ĺ

  Hivi ni Tanzania ninayoijua mimi au nyingine??? mbona tuna vyanzo vingi vya hela...(madini, Kilimanjaro,Ngorongoro, serengeti,mikumi, misitu na bandari) lakini watoto wanakaa chini mashuleni???

  Hili sio changa la macho??

   
 2. Kitumbo

  Kitumbo JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Cha ajabu ni wao haohao ndio walizitoa huko kwa kupokea 10%. Serikali ya Uingereza imezifichua na kuwaambia mwizi mmojawapo ni Chenge, badala ya kumkamata Chenge wanajitahidi kumsafisha... kama wanayosema ni kweli si waanze na vijisent vya AC?
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  kwani hizo hela zikija kuna hata mbao mmoja utanunuliwa?? achilia mbali dawati......
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ...Kanishangaza sana huyu waziri wa mambop ya kigeni huyu MEMBE, eti anagonga meza kujidai anauchungu na hizo pesa wakati wao wenyewe walikwiba, kweli bongo zaidi ya uijuavyo!
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  BAE wanaigopa serikali ya Tanzania kama ukoma, kwani ni wao waliowashawishi waingie kwenye deal hiyo na leo tena wanataka fedha hio eti watumie kwa mahitaji aliyotoa Membe nao wameshituka wanaona ni bora wawape watu wengine kuliko mtu aliyekuingiza mkenge kisha anatia msafi.
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Zitatafunwa tu hizi kama ilivyo jadi.
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wanazikodolea macho!!
   
 8. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Hii pesa haitafika kokote,wanafunzi kwa maelfu bado wanakaa chini hata hapa mjini!halafu serikali hii inalazimisha wazazi wachangie madawati,hivi kodi hazilipwi?na kwanini watoto wakae chini?inatia kichefuchefu!hatuna serikali ni kichaka cha wanyang'anyi
   
 9. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Wezi ndiyo warudishiwe MZIGO TENA??? Heri wapitishie huko kwenye Taasis zisizo za kiserikali kuna kitakachofika kwa MWANANCHI MLALAHOI..Zikirudi mkononi mwa SIRIKALI zitatufunwa tena kama kawa tuuu!!!
   
Loading...