Changa la macho:Polisi wataendelea kuibeba CCM kama Kawa

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Angalia makada wa CCM yaani Ma RCs,ma DCs,ma Tarafa,ma Kata nk wanaishugulikia CHADEMA KILA KONA YA NCHI.JK umepiga changa la macho.Hakuna marefu yasiyo na ncha.KUTESA KWA ZAMU madhali alichokitengeneza mwanadamu hakishindi NGUVU YA MUNGU.
 
Back
Top Bottom