Changa la macho la Barrick na BoT wanakimbilia bila fikara.


A

Adili

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2007
Messages
2,706
Likes
703
Points
280
A

Adili

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2007
2,706 703 280
Source ya hii ni huko Tanzanet


Changa la macho la Barrick na BoT wanakimbilia bila fikara.

This idea of spinning off ABG was announced to the world in mid February, and the IPO is supposed to be in mid-March. On the face of it it would seem that this is chance for Tanzania to grab a sizeable stake at the Barrick mining business in Tanzania. This is what I think Tanzania should do:

1. Refuse any Tanzanian from buying into ABG at this time. Why? Tell Barrick to give Tanzania 1 year notice for Tanzanians and Institutions to do a thorough due diligence and mobilize resources to participate meaningfully.

Anyone with enough resources to buy into the IPO must be an irresponsible money manager or money launderers. Where on earth does Barrick expect the Government to raise funds in 30 days to buy a good stake in ABG? All the govt money was appropriated in the last Parliament and no millions were set aside in a Venture capital kitty just in case Barrick spins off a piece of the act.

Pension Funds and other companies have quarterly, simi-annual and annual investment plans. If they sit arround with millions of dollars in savings account waiting for some company to spring up an IPO, I would say they need a new CFO. The well managed funds could not come up with a large amount of money to sink into this IPO.

Nani waliobaki? Hatuna Short term Venture Capital Funds. Even the likes of UTT will have to sell some current positions to mobilize resources, otherwise they would need to borrow from the banks at 10 or 15 percent rates, so the IPO has to payoff well for this to be a good move.

2. To spin off ABG is tantamount to major change in ownership of a concern in Tanzania. The agreement should never allow such change of ownership without a No Objection Clause by the sovereign of the land. Sio kila mtu mwenye hela tunaweza kumruhusu kuwekeza Tanzania. Wengine ni maadui sasa au wategemewa.

3. We should not be bulldozed into buying into all the four mines. We should be able to choose which of the mines we want to invest in and leave out others. Barrick may have invested in all of them knowing they modulate their differences by their world wide holdings. We should be able to choose, so we should demand that ABG sell shares in Balyankhulu, Tulawaka, North Mara and Geita separately. While we are at it, we ask them to include Kabanga Nickel into the ABG portfolio.

With these three reasons alone BoT should say Thanks but no Thanks. Sometimes we need a backbone and patience to get what we deserve. Tunahitaji ujeuri kidogo.
 
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined
Jan 18, 2007
Messages
14,602
Likes
3,893
Points
280
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined Jan 18, 2007
14,602 3,893 280
-Ok,hold on.whata about the idea of holding a cash balance for speculation purpose?
 
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2008
Messages
2,427
Likes
23
Points
0
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2008
2,427 23 0
......

With these three reasons alone BoT should say Thanks but no Thanks. Sometimes we need a backbone and patience to get what we deserve. Tunahitaji ujeuri kidogo.
BOT wanaweza hili? It looks like BOT needs some young professionals, waliopo wamelala doro.
 
B

Bulesi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2008
Messages
7,024
Likes
1,224
Points
280
B

Bulesi

JF-Expert Member
Joined May 14, 2008
7,024 1,224 280
Wanajanvi hebu nielimisheni, hawa Barrick kwanini hiyo IPO yao wanaifanyia kwenye London stock Exchange na wasiifanyie hapa kwetu ilikohiyo migodi yao? Kama swala la fedha IPOS zilizopita kama NMB zilikuwa oversubscribed ;doesn't that show kwamba wananchi wana fedha za kuweza kununua hizo shares? Hawa jamaa wakija kutuuzia hapa baada ya kuzifloat kule London bei zake zitakuja kua juu sana na wananchi wengi watashindwa kuzinunua! Ndullu anaposema wanaweza kuwaive restriction na watu wakaruhusiwa kununua hizo shares huko London, ni watu gani aliokuwa anawafikiria kuwa wanaweza kwenda kuzinunua hizo shares huko London? May be he had wakinaVIJISENTI na Rashid in mind lakini sio wadanganyika wa kawaida walionunua hizo za hapo DSE!!
 
M

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
5,106
Likes
49
Points
145
M

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
5,106 49 145
Kuifanya IPO LSE (london stock Exchange) nadhani kuna faida zaidi kuliko kuifanyia DSE (Dar Stock Exchange) but IPO hizo BOT zinunuliwe na Serikali yetu wapewe special priority of trading kama nchi husika. Sababu ya kusema LSE ni worth kuliko DSE ni kwasababu investors wenye uwezo wa kununua migodi hiyo wako LSE (kuanzia wachina, wazungu, waarabu etc) hawa wakiwekeza migodi itakuwa na capital ya kutosha kuendeleza miradi mbali mbali.

Tanzania ipewe kipaumbele kununua a substantial amount of shares hata kwa mkopo. Wakishazichukua hizo shares waje kuziuza kwa watanzania katika DSE ili wananchi waweze kufaidika na mali zao. Tanzania kama serikali nayo inajitoa katika umiliki wa mali kwani si kazi yake kufanya hivyo.
 
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Messages
6,818
Likes
1,673
Points
280
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined May 21, 2009
6,818 1,673 280
Let Barrick do what it wants to do, lakini serikali sasa inabidi hiwalazimishe that branch which operates in Tanzania has to register as a Tanzanian operation na ilipe Tax za halali muda wa kukaa na kuangaika nao where they want to sell their shares in a globalized market umepitwa na wakati. Our concerns should be they're taxed appropriataley based on their profits and they employ a high percentage of Tanzanians in the organisation.


Kwanza itasaidia if we tax them appropriately na wao kutafuta buyers on profit bases na sio kuchuma dhahabu yetu kwenda kurudisha reserve alio itumia Gordon Brown on a cheap. I say tax them rightously and let them do what they want.
 
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined
Oct 31, 2006
Messages
517
Likes
255
Points
80
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined Oct 31, 2006
517 255 80
On the face of it it would seem that this is chance for Tanzania to grab a sizeable stake at the Barrick mining business in Tanzania.
This is the biggest mistake Tanzania made, and is continuing to make. Anapokuja mtu 'kuwekeza' kwenye madini au maliasili yoyote Tanzania, serikali inatakiwa kuwa kuanzisha kampuni, inamiliki 100% ya hiyo kampuni (kampuni without capital, without even wafanyakazi). Then inatafuta mwekezaji wa kumiliki let say 51% ya hiyo kampuni. Kwa hiyo huyo mwekezaji atanunua hizo hisa toka serikali ya Tanzania, and then ataendesha hiyo kampuni. Halafu suala la pili, ni kwamba, hizo maliasili atakazozigema tutamuuzia rejareja, in advance, at a fraction ya bei ya soko la dunia. Akiona inalipa, awekeze, akiona hailipi, asante kwa kujaribu, karibu tena siku ingine.

Au, better zaidi, serikali inaanzisha kampuni, halafu inauza hizo hisa kwa wananchi (IPO), halafu wananchi wenyewe kupitia Hisa zao wanamiliki kampuni, ama wanagema wenyewe maliasili zao, au wanasubcontract hao 'wawekezaji' wawachimbie kwa malipo / mgao maalum.

These kinds of arrangement zinaweza kuandaliwa kwa mikataba mipya... hao kina Barick waachiwe wafanye wapendavyo, sawa na mikataba tuliyosainiana nao. It is waste of time kudhani anything will change on the existing contracts. But it is sheer lunacy to continue signing similar contracts to these which we are unhappy about. Or are we?

Mlenge
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,510
Likes
196
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,510 196 160
This is the biggest mistake Tanzania made, and is continuing to make. Anapokuja mtu 'kuwekeza' kwenye madini au maliasili yoyote Tanzania, serikali inatakiwa kuwa kuanzisha kampuni, inamiliki 100% ya hiyo kampuni (kampuni without capital, without even wafanyakazi). Then inatafuta mwekezaji wa kumiliki let say 51% ya hiyo kampuni. Kwa hiyo huyo mwekezaji atanunua hizo hisa toka serikali ya Tanzania, and then ataendesha hiyo kampuni. Halafu suala la pili, ni kwamba, hizo maliasili atakazozigema tutamuuzia rejareja, in advance, at a fraction ya bei ya soko la dunia. Akiona inalipa, awekeze, akiona hailipi, asante kwa kujaribu, karibu tena siku ingine.

Au, better zaidi, serikali inaanzisha kampuni, halafu inauza hizo hisa kwa wananchi (IPO), halafu wananchi wenyewe kupitia Hisa zao wanamiliki kampuni, ama wanagema wenyewe maliasili zao, au wanasubcontract hao 'wawekezaji' wawachimbie kwa malipo / mgao maalum.

These kinds of arrangement zinaweza kuandaliwa kwa mikataba mipya... hao kina Barick waachiwe wafanye wapendavyo, sawa na mikataba tuliyosainiana nao. It is waste of time kudhani anything will change on the existing contracts. But it is sheer lunacy to continue signing similar contracts to these which we are unhappy about. Or are we?

Mlenge
Br. Mlenge napendezwa sana na posts zako za kimapinduzi, I mean ya kifikra.

Lakini kipi ni kipya hapa...?

Tulisha-submit madini yetu kwa hawa 'wawekezaji' kama alivofanya Sultan Mangungo wa Msovero. Kila chetu kilicho kizuri tunampa 'mwekezaji' maana sisi ni magoigoi wa kila kitu.Hatuwezi lolote zaidi ya kugawa na kuharibu.
 
T

Tom

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2007
Messages
472
Likes
1
Points
0
T

Tom

JF-Expert Member
Joined May 14, 2007
472 1 0
Kati ya kampuni kubwa Duniani za Angloamerican ama BHP Billiton, kuna kampuni lilikua Soko la SAfrika lakini baada tu ya Mbeki kuchukua hatamu, kampuni hiyo wakahamia LSE na ndio ukawa mwanzo wa mapesa pamoja na ofisi kuu kuhamia huko. Hata wakiiba mchanga wa dhahabu itabidi mkajadiliane London. Nadhani sasa hivi wamehamia Australia.

Sielewi kwa wanataaluma inakua vipi, lakini nionavyo migodi yote ya Barrick ingesajiliwa DSE na hapo ndipo DSE itapata nafasi ya kukua zaidi na uchumi wetu pia. DSE inaweza kabisa kuitosheleza Barrick kupata uwekezaji wa kutosha migodi hiyo, mbona TBL na wengine wanaendelea vizuri tu kujikusanyia mitaji huko DSE. Kwanza Barrick inapata faida kubwa sana ndani ya TZ, hivyo ni jambo la kawaida 'mtumikie kafiri na upate mradi wako', kwa maana kua TZ ni kafiri wa Barrick - kinyume chake basi sisi ni sikio la kufa.
 

Forum statistics

Threads 1,235,908
Members 474,863
Posts 29,240,195