Za kazi gani hizo chanel Mbofu mbofu?Za jumapili wanajamii? Ghafla chanel zote za star times zimeonekana hata kama hujalipia. Je ni kwa muda tu au ndio kuhmili ushindani wa ving'amuzi vingine?
Hiyo huwa inatokea mara nyingi sana.Za jumapili wanajamii? Ghafla chanel zote za star times zimeonekana hata kama hujalipia. Je ni kwa muda tu au ndio kuhmili ushindani wa ving'amuzi vingine?