Chanel zote za star times zinaonekana hata bila kulipia

S

Stany

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
278
Likes
1
Points
35
Age
31
S

Stany

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
278 1 35
Za jumapili wanajamii? Ghafla chanel zote za star times zimeonekana hata kama hujalipia. Je ni kwa muda tu au ndio kuhmili ushindani wa ving'amuzi vingine?
 
Iyokopokomayoko

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Messages
1,803
Likes
30
Points
0
Iyokopokomayoko

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2011
1,803 30 0
Kwa kifurushi gani? nimejaribu siyo muda napata zile tu nilizolipia.
 
Shaffin Simbamwene

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined
Nov 16, 2008
Messages
1,340
Likes
234
Points
160
Shaffin Simbamwene

Shaffin Simbamwene

Verified Member
Joined Nov 16, 2008
1,340 234 160
Za jumapili wanajamii? Ghafla chanel zote za star times zimeonekana hata kama hujalipia. Je ni kwa muda tu au ndio kuhmili ushindani wa ving'amuzi vingine?
Za kazi gani hizo chanel Mbofu mbofu?
 
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
3,671
Likes
2,770
Points
280
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
3,671 2,770 280
Upuuzi huu, sasa Mkubwa, ushindani sio kutoa service bure, ni kuboresha service na kushawishi wateja and the final goal is to make profit, how can a free service be a competitive strategy?
 
BinMgen

BinMgen

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2008
Messages
1,830
Likes
37
Points
145
BinMgen

BinMgen

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2008
1,830 37 145
Za jumapili wanajamii? Ghafla chanel zote za star times zimeonekana hata kama hujalipia. Je ni kwa muda tu au ndio kuhmili ushindani wa ving'amuzi vingine?
Hiyo huwa inatokea mara nyingi sana.
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
32,020
Likes
5,339
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
32,020 5,339 280
kwa hiyo bado zinaoekana?
 
Forum statistics

Threads 1,273,861
Members 490,528
Posts 30,493,794