Chanel ten: Makwaiya Wakuhenga, Renatus Mkinga na Dr. Kasoga wazungumzia Katiba Mpya

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
887
0
Katika kipindi cha 'je tutafika chanel ten' muda huu hawa wazee hawataki mabadiriko na hawataki kusoma alama ukutani,watapata BP serikali 3 zitapita tu.

Mbona wanamuenzi mwl Nyerere kwenye mambo wanayopenda wao?

Mbona hawasemi kufa kwa azimio la Arusha?

Mbona hawasemi ufisadi na umaskini?

Hawa wazee wanapotosha umma.
 
Nyamigota

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
365
0
Katika kipindi cha je tutafika chanel ten muda huu hawa wazee hawataki mabadiriko na hawataki kusoma alama ukutani,watapata bp serikali 3 zitapita tu;mbona wana muezi mwl nyerere kwenye mambo wanayopenda wao?mbona hawasemi kufa kwa azimio la arusha?mbona hawasemi ufisadi na umaskini?hawa wazee wanapotosha umma
Kwa kweli njaa mbaya sana, sijaamini kumwona na kumsikia Renatus Mkinga alivyotindikiwa akili baada ya kulambishwa ramba ramba na ccm, akili zake zote zimehamia Masabulini, kiukweli nimemdharau sana, sana.
 
Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
May 16, 2013
1,337

Jamani kazi za kufanywa na wastaafu ni za ajabu sana, njaa ni mbaya kwa hiyo anamtumikia Kafiri apate mradi wake. Rejeeni kile kipindi alichokuwa anahojiana na Mh. Suluhu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum ya Katiba, Yale maagizo aliyopewa mwishoni mwa kipindi. Alipewa maagizo kumponda Jaji Waryoba na Rasimu kwa Jumla.
 
NGABHAGHILA

Senior Member
Feb 26, 2014
140
0
Kwa kweli njaa mbaya sana, sijaamini kumwona na kumsikia Renatus Mkinga alivyotindikiwa akili baada ya kulambishwa ramba ramba na ccm, akili zake zote zimehamia Masabulini, kiukweli nimemdharau sana, sana.

Huenda ni miongoni mwa wanaofikili kwa kutumia Ma------!!! Wbongo hatujambo kwa unafiki na usaliti!
 
Spina

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
704
195
Kabla ya kumlaumu Renatus Mkinga Fuatilia historia yake tangu alipozaliwa, alikosoma, alikopata mafunzo mengine ya utumishi serikalini, alikofanya kazi nk ndo utajua kwa nini sasa hivi anaitumikia serikali iliyopo madarakani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom