Chanel ten, magic fm na gazeti mtanzania zilikuwa za Rostam ikapewa ccm, jiulize na Lowasa kahaidiwa nini au katoa nini? CCM ufisadi kwanza

wakatanta

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
1,911
2,000
Kwa ufupi kurudi kwa Rostam Azizi na kuachiwa kwa ndugu yake na kukubali masharti ya kuachia vituo vya redio na tv na gazeti la mtanzania kwa maslai ya CCM na sio kwa maslai ya nchi ni jambo la hatari sana tuondako.

Viongozi wa nchi hii wanatanguliza maslai ya chama zaidi kuliko ya taifa kinachofanyika sasa na magufuli ni kuimarisha chama na sio nchi nchi baadae chama kwanza. Inamaana anaagalia maslai ya kutawala na sio kuongoza nchi.

Yuko radhi kuuza au kugawa chcochote ili chama kiwe juu kuliko nchi.

Kwa Lowasa iko wazi alivyohaidiwa ikiwemo la kimwachia mkwewe na kutoendelea kuchukuliwa kwa ardhi na sakata la vodacom mwanae alikuwa kwenye list ya wahujumu uchumi kwa kukaepa kodi.

Kiufupi existance ya ccm inategemea ufisadi na sio wananchi kwenye sanduku la kura.

Ccm kwanza nchi baadae
Huelewi wewe,hizo ni mali za ccm toka kitambo na nyaraka zinaonesha hivyo,sema mali nyingi za ccm wanachama walijimilikisha,Magufuli aliunda tume kuhakiki mali hizo,na.huo ndio mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
33,382
2,000
CCM na ufisadi ni kama chupi matako.
Kwa ufupi kurudi kwa Rostam Azizi na kuachiwa kwa ndugu yake na kukubali masharti ya kuachia vituo vya redio na tv na gazeti la mtanzania kwa maslai ya CCM na sio kwa maslai ya nchi ni jambo la hatari sana tuondako.

Viongozi wa nchi hii wanatanguliza maslai ya chama zaidi kuliko ya taifa kinachofanyika sasa na magufuli ni kuimarisha chama na sio nchi nchi baadae chama kwanza. Inamaana anaagalia maslai ya kutawala na sio kuongoza nchi.

Yuko radhi kuuza au kugawa chcochote ili chama kiwe juu kuliko nchi.

Kwa Lowasa iko wazi alivyohaidiwa ikiwemo la kimwachia mkwewe na kutoendelea kuchukuliwa kwa ardhi na sakata la vodacom mwanae alikuwa kwenye list ya wahujumu uchumi kwa kukaepa kodi.

Kiufupi existance ya ccm inategemea ufisadi na sio wananchi kwenye sanduku la kura.

Ccm kwanza nchi baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom