Chanel 10 na music wakati wa mada za maana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanel 10 na music wakati wa mada za maana

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Froida, Jan 4, 2011.

 1. F

  Froida JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Channel 10 wananiudhi sana sasa hivi kwenye kipindi cha Je tutafika yupo jaji Mkuu mstaafu Agustino Ramadhani Brigedia hashim Mbita wanaongelea kuhusu katiba lakini nasikiia kwa taabu hata neno moja kumewekwa music wa kizazi kipya kwa sauti kubwa kabisa na hii si mara moja hata taarifa zao au vipindi vingine kama pambanua naHamza Kassongo hour au ni hujuma ya makusudi hebu channel ten jirekebisheni sio ustaarabu
   
 2. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hao wanapata ruzuku za ccm hawawezi kutenda wema kwa watanzania
   
 3. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yeah it's true, hata mimi nliudhika sana kipindi cha Hamza wakati anamhoji Salim A. Salim, lakini wasamehe bure, it's one of the poorest channels, vifaa duni
   
Loading...