Chandarua kipya

Asa na wewe mkuu kweli ulienda kupanga foleni kutafuta chndarua cha bure ambacho kimewekwa dawa usiyoijua ya kummaliza mbu miaka kadhaa
Je uliuliza ni dawa gani wameweka kwenye hivyo vyandarua na kwa nini hata ikifuliwa na sabuni nguvu zake haziishio bado mbu akijingonga tuu pale anakufa
Mhhh akili kichwani mwako changanya na za kuambiwa
 
mkuu watu wanapenda vya bure
mmh hii ya kumaliza nguuvu za kiume isije kuwa kama ilivyoibka ya dasani
 
Asa na wewe mkuu kweli ulienda kupanga foleni kutafuta chndarua cha bure ambacho kimewekwa dawa usiyoijua ya kummaliza mbu miaka kadhaa
Je uliuliza ni dawa gani wameweka kwenye hivyo vyandarua na kwa nini hata ikifuliwa na sabuni nguvu zake haziishio bado mbu akijingonga tuu pale anakufa
Mhhh akili kichwani mwako changanya na za kuambiwa

Ni kweli mkuu,...
Nilipanga mstari kuchukua,lakini ni rahisi kuniona mimi wa ajabu sana,...
labda sikua na hela ya kununua chandarua nikafata cha bure.

Labda ninazo hela lakini napenda vya bure,....
Cha muhimu ni tuangalie wale maskini wasio kuwa na hela ya kuweza
kununua chandarua na wanapata hivi vyenye madhara,....ni haki yao?

Je,ndo kusema walishidwa kuchanganya akili zao na za kuambiwa?
 
Mkuu tatizo hapa sio khao maskini waliopanga foleni kwenda kuchukua
Maana wao wamepewa msaada tena bure na wakaaminishwa na serikali kuwa viko salama na havina madhara yoyote kwao
Wa kulaumiwa ni hao hao serikali kwa kukubali kitu kama hicho bila kufanya utafiti wa kutosha kujua madhara yatokanayo na hizo dawa
Je zina athari gani kwa watu
Je zinakubaliana na kila mtu maana kumbuka kuna wengine wana alergy mbalimbali
Je wakitumia watapata madhara gani
Je hizo dawa reaction yake na mwili wa binadam ikoje
 
Yeah,hilo ndo swala.
Labda na kama alivo sema mdau yawezekana na saikolojia inachangia pia.
Sivitaki kabisaaaa,bora kuugua malaria kuliko kuaibika

mimi nilishaachana na vyandarua siku nyingi kuna dawa ya furmigation hapa moshi inauzwa tsh 5000 ukipulizia hiyo kwenye mazalia ya mbu miezi mi 3 huoni mbu wala mende jaribu hiyo mkuu
 
sasa mbona hujasema inaitwaje hiyo dawa au akaulize tu dawa ya furmigation?
 
Acheni uongo baana hivi vinatengenezwa hapo arusha A-Z. Pia mwaka jana kabla .... mbona tulikuwa na cha hati punguzo lakini nilikuwa namimina kwenye chungu asali mpaka kata 6. Mpaka wife ana.
 
Hii JF bana huwa kila siku najifunza.

Na umri wangu huu nilifikiri Clemmy ni UWT. Kumbe lol........Nashukuru maangalizo nlopewa na fellow Tablet wangu Kloro, otherwise maPM yangeshajaa kwa PM za Clemmy! Hizi Avatar bana dah!
 
Vyandarua vyenyewe rangi mbaya! ( Blue ) wanashindwa kuwapa watu vyandarua vya rangi nyeupe? Mi bora kuliwa na mbu aisee! Sichukui hata wakinipa na hela juu.
 
Mkuu tatizo hapa sio khao maskini waliopanga foleni kwenda kuchukua
Maana wao wamepewa msaada tena bure na wakaaminishwa na serikali kuwa viko salama na havina madhara yoyote kwao
Wa kulaumiwa ni hao hao serikali kwa kukubali kitu kama hicho bila kufanya utafiti wa kutosha kujua madhara yatokanayo na hizo dawa
Je zina athari gani kwa watu
Je zinakubaliana na kila mtu maana kumbuka kuna wengine wana alergy mbalimbali
Je wakitumia watapata madhara gani
Je hizo dawa reaction yake na mwili wa binadam ikoje
Mkuu unamaanisha serikali hii hii ya Jk au?
 
Kinachonikera kuhusu mapambano dhidi ya Malaria ni Upofu wa kujitakia wa serikali kuhusu njia muafaka wa kutokomeza tatizo hilo. Yaani wanashindwa kujifunza kutoka Zanzibar..ambako dunia nzima inafahamu mafanikio yake ya kutokomeza malaria kwa kuua mazalia ya mbu. Sasa sisi badala ya kushambulia mazalia tunaambiwa tujikinge kwa vyandarua eti vilivyowekwa viatilifu??? kwa maana nyingine tunageuzwa soko la kuuziwa vyandarua!
 
Mi nimesikia vinadumaza ufahamu wa watoto hatimaye wanakuwa sio compitant
 
Serikali inawasaidia watanzania kufanya family planning. Hili nalo zuri sema wawe wanatumambia kabla. Naipenda sana Serikali ya Tz
 
2pe 2pe jina la dawa ya kuuwa mmbu.

imebidi nirudi dukani niulizie jina la dawa nimepewa jina la ziada INSECTICIDE ICON 10WP na INSECTICIDE DOOM 100EC kwa Moshi zote jumla ni tsh 11000
 
Back
Top Bottom