marregal
Member
- May 8, 2011
- 77
- 15
ni wazi kuwa wengi hatuwajui ma chancellors wa vyuo,, utakuta wengi wanaoonekana na kuhudhuria vishughulu ni vice chancellor, nkasikia chancellor wa udom ni Rais wa awamu ya tatu, vyuo vingine je? na kazi za hao ma chancellors ni nin haswa???? nitolewe ujinga na nielimike wana jf...oapamoujah