Acha upumbavu wewe rate ya unemployment ya USA unaweza kulinganisha na ya kwetu kweli?USA na uchumi wa juu napo ajira hakuna hivyo kauli yako na kubeba kwako huu ujumbe kunaonyesha jinsi gani ulivyo "mjinga"
Pia kumbuka Serikali ya Marekani inatoa subsistence allowance to unemployeed.
Sasa huoni huko kufananisha tatizo la ajira kwa nchi ya Marekani na Tanzania ni ukichaa? Jipange upya katika kujibu hoja.
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app