Champions do not become champions in the ring,they are just recognized there

Vision 2030

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
407
250
Hivyo alivyo Magu Ni matokeo ya umri wa maisha yake 55+,na Ni aina ya watu ambao wanauwezo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ikafanikiwa kwa zaidi ya 90%,Tumpe ushirikiano mabadiliko anayofanya yametuathiri Na yataendelea kwa kuwa tunaishi kizamani katika Mfumo mpya.Chamsingi tusijielekeze kuhukumu kwani,"The real test of leadership is not where He starts out.It's where He ends up"Happy New Year 2018 wadau wa jamiiforums
 
Tumbua tumbua na mambo mengine aliyoyafanya hayajasaidia kukuza uchumi. Kasi ya ukuaji uchumi imeshuka. Aaangalie ni jinsi gani atawapunguzia woga wafanyakazi na kuwafanya wawe na ari na ubunifu.

The end justifies the means. Kama kasi ya ukuaji uchumi inashuka basi mambo yote anayoyafanya rais hayana mashiko.

Nchi yetu bado ni taifa maskini, ilitakiwa kasi ya ukuaji uchumi iongezeke tufikie uchumi wa kati, sio ipungue.
 
Tumbua tumbua na mambo mengine aliyoyafanya hayajasaidia kukuza uchumi. Kasi ya ukuaji uchumi imeshuka. Aaangalie ni jinsi gani atawapunguzia woga wafanyakazi na kuwafanya wawe na ari na ubunifu.

The end justifies the means. Kama kasi ya ukuaji uchumi inashuka basi mambo yote anayoyafanya rais hayana mashiko."Umenena sawa ,tupo watanzania 50+ ambao tunapaswa kumsaidia ktk nyanja mbalimbali ukichukulia yeye sio mchumi Na tunaomzunguka tumshauri bila unafiki,kwani yeye Ni mwanadamu Na kuwa kwake Rais,hakuondoi haki take ya kuwa mwanadamu

Nchi yetu bado ni taifa maskini, ilitakiwa kasi ya ukuaji uchumi iongezeke tufikie uchumi wa kati, sio ipungue.
 
Back
Top Bottom