Edson Zephania
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 517
- 112
Kuna ajali imetokea maeneo ya Nala umbali kdg tokea Dodoma, habari ni kwamba imeua watu weng. Gari ilikua ikitokea Mwanza kwenda Dar.
Shida ninayoiona siyo VETA shida ni madereva kuizoea kazi kupita kiasi na kupuuzia alama za barabarani ikichagizwa na mwendo kasi, ubovu wa matairi, ubahiri wa matajiri kubadili mipira n.kTatizo la ajali hapa kwetu ni madereva. Hawa jamaa wanadharau hii kazi kiasi kwamba hawawezi kukaa darasani angalau hata mwezi mmoja wakapate elimu ya nidhamu ya barabarani.
Wangekuwa wanapitia VETA angalau ajali zisingekuwa nyingi.
Mfano mzuri ni madereva wanaotokea nchi za jirani kuja kwetu, mbona hawapati ajali?
Udereva jamani ni taaluma na ustadi, vyote hivyo vinapatikana VETA.
Mkuu usiombee na usiseme kitu kama hicho, kama ni dereva hata wa private yako utakuwa umeshawahi kupata kaajali hata uchwara je ulijitakaia?Acha tu waendelee kufa. Wanayataka wenyewe.