Champion Bus yaua watu 8

Edson Zephania

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
517
112
Kuna ajali imetokea maeneo ya Nala umbali kdg tokea Dodoma, habari ni kwamba imeua watu weng. Gari ilikua ikitokea Mwanza kwenda Dar.
 
More news mwenye update zaid adondoshe.mwenyenz mungu awafarj wafiwa na rehema zake ziwashukie majeruh wapate auheni mapema.
 
Ndugu wana Jf,
Habari za uhakika zilizopo hapa Dodoma Mjini ni kwamba Champion Buss imepinduka maeneo ya ZUZU hapa Dodoma na kuua watu 40,ni Champion iliyokua inatoka Shinyanga ikienda Dar kwa hyo ndugu zangu kwa mtu yeyote mwenye ndugu ajaribu kumtafuta ili kufahamu kama yupo hai au la,nimeshindwa kuweka picha sabbu nipo mbali na eneo la tukio lakn nimeshuhudia askari wanaelekea eneo la tukio na taarifa hizi zimeletwa na baadhi ya magari yanayotokea barabara hiyo,ni hayo wandugu.
 
Radio one breaking news soon wamesema mpaka sasa ni watu 3 wamefariki na wengi kujeruhiwa vibaya.bado taarifa nyingi ni tata kwani zinatoa idadi tofauti ya waliokufa.
 
wana Jf wa Dodoma wanaweza kutupa habari zaidi hapa,hizi ajali zimetushinda jamani ni hatari mno kupoteza watu kiasi hiki,bora hata ukimwi sasa!
 
Hizi habari niza kweli ndugu zangu inasemekana limepinduka huju matairi ya gari yakielekea juu
 
mmmmh kwanni hizi sikukuu lazima ziondoke na maisha ya watu?? sijataja sikuuu gani msije mkaanza kuwaza maengine; wapumzike kwa amani
 
Taarifa za kuaminika kutoka hospitali ya rufaa ya Dodoma kuhusiana na ajali ya bus la CHAMPION lililo pata ajali Nala Dodoma mpaka sasa waliouawa kwa ajali hiyo ni 8 na majeruhi 56.Busi lilikuwa likitokea Mwanza kwenda Dar.Tutaendelea kupashana habari.Wenye ndugu walikuwa wakisafiri kwa Basi hilo tafadhali Fikieni hospitali ya Rufaa Dodoma kwa utumbuzi wa maiti na majeruhi.
 
asante hengo kwa taarifa,Mungu awape nguvu wafiwa,sababu ya ajali mwendo kasi na tairi la mbele kupasuka! Nina wasiwasi sana na ubora wa matairi yanayoingia nchini,ongea na madreva wazoefu wa mabasi usikie kiama!
 
Tatizo la ajali hapa kwetu ni madereva. Hawa jamaa wanadharau hii kazi kiasi kwamba hawawezi kukaa darasani angalau hata mwezi mmoja wakapate elimu ya nidhamu ya barabarani.
Wangekuwa wanapitia VETA angalau ajali zisingekuwa nyingi.
Mfano mzuri ni madereva wanaotokea nchi za jirani kuja kwetu, mbona hawapati ajali?
Udereva jamani ni taaluma na ustadi, vyote hivyo vinapatikana VETA.
 
Tatizo la ajali hapa kwetu ni madereva. Hawa jamaa wanadharau hii kazi kiasi kwamba hawawezi kukaa darasani angalau hata mwezi mmoja wakapate elimu ya nidhamu ya barabarani.
Wangekuwa wanapitia VETA angalau ajali zisingekuwa nyingi.
Mfano mzuri ni madereva wanaotokea nchi za jirani kuja kwetu, mbona hawapati ajali?
Udereva jamani ni taaluma na ustadi, vyote hivyo vinapatikana VETA.
Shida ninayoiona siyo VETA shida ni madereva kuizoea kazi kupita kiasi na kupuuzia alama za barabarani ikichagizwa na mwendo kasi, ubovu wa matairi, ubahiri wa matajiri kubadili mipira n.k

Acha tu waendelee kufa. Wanayataka wenyewe.
Mkuu usiombee na usiseme kitu kama hicho, kama ni dereva hata wa private yako utakuwa umeshawahi kupata kaajali hata uchwara je ulijitakaia?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom