Chama pinzani ndilo jina la milele la chadema

HAMY-D
Ikiwa mwalimu ameweza kuwa Rais,Mwandishi wa habari ameweza kuwa Rais, Mwanajeshi anaweza kuwa rais katika nchi hii sio vibaya pia kwa DJ au mwengine yeyote kuwa Raisi. Kubadili fani/ kazi inakatazwa siku hizi?

Au nani katika CHADEMA unataka agombee Uraisi?

Msikilize DJ hapa katika video.

Wenyewe walimu, waandishi na wanajeshi wakisikia unawafananisha na Disc Jockey sijui kama watafurahi!

Huko BOT bila shaka aliingizwa na Mtei kama alivyoingizwa ndani ya Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Haya basi tufanye wote hao hawafai, basi tupe anayefaa pale chadema kugombea uraisi, Basi tutamuweka shibuda agombee uraisi, hapo unasemaje?
 
Hisia zenu ambazo zinakoshwa na huyu mvaa magwanda zitaliponza taifa. Wananchi hawana imani nae hilo unaliongeleaje?

Chadema kibaki kuwa pinzani ili kiisimamie serikali vizuri, maana na magwanda yao hiyo kazi ya ulinzi ulinzi wanaiweza.

Kama wananchi hawana imani naye mishipa ya shingo inakutoka ya nini,
 
Pinda aeleza ailivyozomewa mwanza,na ametoa ushuhuda kuwa kama na yeye kazomewa hakuna kiongozi wa kitaifa ataacha kuzomewa- kwa maelezo zaidi soma magazeti ya leo alafu uache kuleta maneno ya kwenye kahawa hapa jamvini
 
Hizi ni thread za kipumbavu za kutafuta umaarufu hapa jamvin kupitia Chama kinachopendwa na rika lote. Kama ulikuwa hutafuti umaarufu kwanini hukuandika CUF? Nikwasababu thread yako isingechangiwa na mtu yeyote !!!!! Tafuta tena tittle nyingine ya kuiponda CDM Kama "Mbowe na Dr Ndalichako ni ndugu"

Mkuu naomba uelewe kuwa sina matatizo ya vyama pinzani, bali nina shaka na wasiwasi na siasa wanazofanya chadema, CUF kwa kipindi kirefu wamekuwa sehemu ya vyama vya siasa ambavyo vinafanya na kutekeleza siasa safi. Kwanini niwaongelee wao? au UDP? AU CCJ?

SIO CHADEMA WANAOTUMIA JINA LA DEMOKRASIA KULETA MACHAFUKO YANAYOSABABISHA MAUAJI ALAFU MIMI NILIFUMBIE MACHO. JAMBO LINALOPASWA KUKEMEWA VIKALI NA NYINYI WENYEWE WAPENZI WA HICHO CHAMA CHENU OR ELSE NA NYINYI MNA-ENTERTAIN HAYO MAUAJI.
 
Hawawezi kuzungumzia makosa ya chama, si ndio hawa wanafukuzia vicheo na wao wapate kula. Huu ushabiki wao ni njaa tu wala sio kutaka mabadiliko.
 
Mkuu naomba uelewe kuwa sina matatizo ya vyama pinzani, bali nina shaka na wasiwasi na siasa wanazofanya chadema, CUF kwa kipindi kirefu wamekuwa sehemu ya vyama vya siasa ambavyo vinafanya na kutekeleza siasa safi. Kwanini niwaongelee wao? au UDP? AU CCJ?

SIO CHADEMA WANAOTUMIA JINA LA DEMOKRASIA KULETA MACHAFUKO YANAYOSABABISHA MAUAJI ALAFU MIMI NILIFUMBIE MACHO. JAMBO LINALOPASWA KUKEMEWA VIKALI NA NYINYI WENYEWE WAPENZI WA HICHO CHAMA CHENU OR ELSE NA NYINYI MNA-ENTERTAIN HAYO MAUAJI.
NCCR-Mageuzi ilivyokuwa juu mlikuwa mnalalamika ni chama cha fujo. pia CUF kipindi cha Mahita mlisema kimeingiza silaha na ni chama cha Kidini nyinyi mnaogopa vyama ambavyo ni tishio kwa utawala wenu ambao umegubikwa na wizi wa rasilimali za hii nchi
 
Siku ile Yaja.. tena yaja kwa kasi ya pepo za kusi! Nchi itarudishwa mikononi mwa wananchi na amiin amin nawaambia Keko na Segerea hazitatosha kwa wingi wa mafisadi tulionao
 
mkuu mbona jana ilikuwa juma 4 ni vipi kwani ukaamka na pombe ??? Au ndoto za kuokota mashilingi usingizini zinakukumba sana na kukusumbua??? Inaonekana mwanzisha thread hii ni kikojozi. BISHA?????

Hii ndio akili ya wengi ndani ya CHADEMA, hoja nyepesi zilizosheheni maneno ya aibu na upuuzi ndio misingi ya kujenga kwao hoja.

Vijana wa CCM tupo hapa kwa uzalendo wetu kuja kutoa elimu ya uraia watu waelewe vizuri siasa, hii itasaidia katika kufanya maamuzi mazuri ya kiitikadi.

CCM haitufundishi kutukana, kudharau visivyodharaulika, kuleta shari na uadui, bali CCM inatufundisha tuwe na upendo, amani na umoja. Hivi vitu ndio misingi ya maendeleo ya taifa letu, mambo ambayo chadema wanafanya kazi usiku na mchana kuyapoteza.

Kamwe nchi inayopoteza haya mambo kwa makusudi kabisa(upendo, amani na umoja) haitakuja kuyarudisha tena katika taswira ya dunia.
 
Yani safari hii CCM mtanena yoote, lakini lazima mchomoke.
Mmetengeneza sinema ya udini, sinema ya vurungu, sinema ya ukabila, sinema ya mauaji kwenye maandamano lakini mwisho wa siku kila mnachofanya kwa nia ya kudhoofisha CDM kina-back fire mnazidi kujitia aibu mithili ya mtu anayekata tawi la mti alilolikalia.
Kenge huwa hasikii hadi umtandike mpaka damu zimtoke masikioni ndo ataskia.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
NCCR-Mageuzi ilivyokuwa juu mlikuwa mnalalamika ni chama cha fujo. pia CUF kipindi cha Mahita mlisema kimeingiza silaha na ni chama cha Kidini nyinyi mnaogopa vyama ambavyo ni tishio kwa utawala wenu ambao umegubikwa na wizi wa rasilimali za hii nchi

Hakuna kiongozi au mwanachama wa chama cha mapinduzi anaeendekeza mambo ya ufisadi, wizi na ubadhilifu wa mali ya umma.

Hayo yote chama changu imekuwa ikiyakemea vikali. Hivi ujiulizi kwa nini mkuu wa kaya anafanya mabadililo ya mara kwa mara ya baraza la mawaziri? anafanya maamuzi magumu kwa maslahi ya wengi ili kuonyesha chuki aliyonayo na mambo ya namna hiyo.

Hakuna kama Kikwete Tanzania.
 
Utasubiri mkono wa binadamu udondoke kwa muda mrefu bila ya mafanikio kama fisi vile. Tanzania ya leo, ukiongelea siasa ni CDM, kama hujui kufa kachungulie kaburi.

Naona ndugu yangu kama unakaugumu fulani cha kusoma alama za nyakati. CHADEMA ikulu mtakuwa watu wa kualikwa na kukaribishwa tu.

Mimacho na mishipa ya koo inawatoka mnapomkuta mtu mliesema hamumtambia kama Rais anajenga nchi ndani ya ikulu, huku nyinyi mkijificha kwenye vibanda vyenu vya makao makuu kinondoni.
 
UDINI: Awali mlisema CCM - Catholic Church Movement,.. Alipopitishwa J.K. kuwa mgombea na kujenga safi ya kidini mkasahau yote. Slaa alikuwa Padre, je, maalim seif ni title ya kisiasa? Au title za kiislamu sawa, za kikristo nongwa!.
 
Hii ndio akili ya wengi ndani ya CHADEMA, hojam nyepesi zilizosheheni maneno ya aibu na upuuzi ndio misingi ya kujenga kwao hoja.

Vijana wa CCM tupo hapa kwa uzalendo wetu kuja kutoa elimu ya uraia watu waelewe vizuri siasa, hii itasaidia katika kufanya maamuzi mazuri ya kiitikadi.

CCM haitufundishi kutukana, kudharau visivyodharaulika, kuleta shari na uadui, bali CCM inatufundisha tuwe na upendo, amani na umoja. Hivi vitu ndio misingi ya maendeleo ya taifa letu, mambo ambayo chadema wanafanya kazi usiku na mchana kuyapoteza.

Kamwe nchi inayopoteza haya mambo kwa makusudi kabisa(upendo, amani na umoja) haitakuja kuyarudisha tena katika taswira ya dunia.

Aisee usije ukathubutu kunena mbele za watu kuwa wana-ccm ni wazalendo, hayo endelea kuyawaza kichwani mwako huku ukijua kuwa tanzania ya leo sio ya mwaka 47.
Story za kuwa chadema ni chama cha fujo endelea kuzijadili na green guards ila kwa taarifa yako huu ndo mwisho wenu mtake mstake.
Napenda kukusihi kuwa kuachia madaraka sio jambo baya wala sio dhambi, usijiskie vibaya kuchomoka kwenye kiti na kumpisha mwenzako kwani hili sio jambo la aibu, nakushauri uanze kujiandaa kifikra kuwa kupisha wengine watawale sio jambo la kubezwa ili uwe umetengeneza utayari wa wewe na wanachama wenzako kuanza kuitwa WAPINZANI.
Usichukie mabadiliko ya uongozi kiasi cha kuanza kupasa sauti ya uchungu nyikani, kubali mabadiliko haya na ukae na wenzako mtafakari kwa nini wananchi hawajawahitaji kwa kipindi hichi, usipoteze mda kuwachukia wale wanaokupinga bali jitafakari ujue kwa nini wanakupinga, pia ukishajua kwa nini wanakupinga usikurupike kwa kujaribu kila namna kuupinga ukweli kwani mwisho wa siku utajikuka unapata aibu kwasababu anayekupinga amejiandaa kwa umakini mkubwa.
Jitahidi sana usijiwekee akilini mwako kuwa kupisha mabadiliko ni jambo la kubezwa, kuwa na tabia ya kuukubali matokeo ya uhalisia, tofauti na hapo utakua ni sawa na mtu aliyejivua ufahamu.
Usiweweseke na kuogopa mabadiliko.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wanabodi,
Mtoa hoja inabidi afahamishwe tofauti ya elimu, kuelimika, na busara. inavyoonekana haelewi tofauti ya hayo maneno matatu. Je tunataka viongozi wenye elimu kubwa au walioelimika? tunahitaji viongozi wenye elimu kubwa au wenye busara? Kuitwa DKT au Profesa haina tija kama huwezi gundua tatizo linalokusibu. Tofauti kubwa ya Wanyama na binadamu ni kwamba mwanadamu anaweza kuforecast na kupangilia mambo ya mbele miaka hata 50 ijayo.
ukiona kila kitu kinahudumiwa jinsi kinavyokuja (ADHOC), hamna tofauti kati yetu na wanyama.

Hizo elimu (CV) tunazo nyingi sana huku kanda ya ziwa lakini maendeleo yetu ni aibu tupu. afadhali hata wahadzabe wanaojua kuweka mitego ya kitoweo cha kesho. Nini kimetokea lake victoria? je hao wenye elimu hawakuwepo? nini kinatokea kwenye raslimali za taifa letu? Je wenye elimu hawakuwepo? nini kinatokea kwenye mfumo wetu wa elimu? je wenye elimu hawakuwepo?
Nipe CV ya wajasiriamali wakubwa Tanzania!!! na uangalie wameajiri hao unaowaita wana elimu wangapi? acha kupofushwa na Elimu, nenda mbele zaidi uangalie outcome.
Tafakari vizuri na uchukue hatua.

Ndugu yangu wa kanda ya ziwa, CHADEMA hawana hao unaowasema wanaweza kuforecast hata miaka miwili ijayo, maana wangeweza wasingefanya vitu kama M4C ambavyo vimeonyesha kuleta machafuko tu na chuki kati ya raia na serikali yetu.

Swala la elimu, naomba na wewe uingie bungeni na hoja yako binafsi itakayosema kuwa dkt au profesa haina tija kama hutaweza kugundua matatizo, ili katika nafasi mbali za kiutendaji watoe vigezo hivyo, waweke utakavyoona wewe vinafaa.

Ukipata elimu umepata maarifa thats why serikali iliyoundwa na chama cha mapinduzi imelifanya swala la elimu kuwa kipaumbele cha taifa.

Sasa ili huyo DJ wenu m/kiti wa CHADEMA akubalike na jamii kubwa ya wananchi watanzania inabidi akashiriki mafunzo ya elimu ya watu wazima ili apate maarifa, itamsaidia katika kufanya maamuzi yenye tija, sio kama sasa alivyo mropokaji.
 
"Kuna harakati nyingi sana zinafanywa na hichi "chama cha wavaa magwandwa" katika operesheni tofauti tofauti kwa lengo la kutwaa dola".

Acha kukurupuka ndugu yangu,hata hujui unaandika nini.Ila zingatia hili"ukisikia mbwa anabweka bweeeeeeee!Ujue jiwe limempata"kila la kheri!

Mimi binadamu, sijakamilika mkuu. Hayo ni mambo madogo tu na yanarekebishika. Asante kwa kunikosoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom