Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,008
- 16,134
Na magoli yote yalifungwa upande was jukwaa la yanga.... Mechi na Uganda Alifunga Abdi Kassim Babi kwa shuti, mechi na Nchumbiji tulifungwa na TicoTico kwa diving header ...Kumbe enh! Labda kwavile bado nina kumbukumbu mbaya ya ile mechi ambayo nilikuwa mkoa nikasafiri hadi Dar! Hadi leo naipata taswira ya wachezaji wa The Mambazi na zile jezi zao walivyokuwa wanashangilia ushindi!