Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli

Ipa watega, apa unadhihirisha kuwa kwenye kundi la wahuni na wewe umo.
Nashukuru sana lakini mimi siamini katika uongo bali naamini katika ukweli mshenzi mmoja Tangu tupate uhuru hadi anapata madaraka kutoka kwa viongozi huru tena wa chama chake anaanzisha mada ya mabeberu wakati yeye alikuwa beberu nambo moja Tanzania,Urais hakuupata kwa vita wala hakuingia msituni kama Mseveni na Kagame akaanzisha ukagame na umseveni Tanzania nauongo mwiiiingi halafu uniite mimi mhuni,Mungu akubariki.
 
Wasukuma nao ni watu tena wanao lisha chakula Tanzania nzima KWA uchapakazi WAO!!
Mikoa inayolisha Tanzania na nchi jirani ni tisa ambayo ni:-
1.Rukwa- Wafipa
2.Ruvuma-Wngoni
3.Songwe-Wanyiha,Wamalira,Wanyamwanga na Wandali
4.Njombe-Wabena na Wakinga
5.Morogoro- Waruguru
6.Mbeya - Wanyakyusa,Wasafwa
7.Kigoma-Waha
8.Katavi-Wafipa na Wasukuma
9.Iringa-Wahehe
 
Hv unadhan nan alikuwa na jukumu kubwa la kukemea ule ushetani uliokuwa ukifanyika ktk utawala wake???au bdo ulikuwa mtt????
Damu zipi,hizo picha za Kivu na CAR.Anyway,tunachosena ni hiki tushirikiane wote kuiletea nchi yetu maendeleo,kusitokee mmoja wetu akawa Covert CIA operative or whatever akatuvuta miguu nyuma,hiyo haitakubalika.
 
Ww ucwe chawa hivyo
Kama siasa zikiwa za kistarabu,zisizo za kibabe,fujo na matusi hakuna sababu yeyote kwa nini serikali ya Chama tawala isi relax masharti.Tatizo ni vyama vya upinzani kutokuwa na adabu na kushirikiana na mabeberu kui-sabotage nchi.Nchi hii ni yetu sote,Ni lazima tushirikiane kuijenga,sio kuibomoa.
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,hv nan alikuwa akizuia maendeleo au ule unga wa bi.kirembwe aliwaathiri kwa ule unga wake wa ndere???
Labda nikuulize swali.Hivi kama wewe ungekuwa Rais,halafu unahangaika kuwaletea wananchi wako maendeleo.Then watu fulani kwa ujinga tu na uchumia tumbo from nowhere,wanashirikiana na mabeberu ku-sabotage maendeleo ya taifa,wewe kama Rais ungewafanyaje?And you have all the evidence.Naomba unijibu tafadhali.
 
SUKUMA GANG ni wale wote waliofanywa misukule na lile kubwa la maadui
Sukuma gang ndio nini?This is an imaginery group which cannot be proved that it exsists.Claim hii ina nia ovu ya kupaka matope yeyote mwenye nia njema na taifa letu na kutetea maslahi yake.This concept has its roots in hell.
 
Hao waliouwawa baadhi ya hatua zilichukuliwa vp yule adui kuu alikuwa akiwajibikaje???
Kutekwa, kuuawa ilikua ni Enzi ya awamu ya tano tu? Vp ulimboka, mwangosi, wafanyabiashara ya Madini waliuwawa awamu ya tano?
Acheni propaganda za kutufanya kuwa hatujui mifumo ya serikali inafanyaje kazi.!
Mwisho: Hayati Dkt. John pombe Joseph magufuli alikuwa ni kiongozi bora kuliko yeyote kwa kipindi alichokua madarakani.
Na huo ndiyo ukweli kubali kataa itabaki hivyo.
 
Hv unadhan nan alikuwa na jukumu kubwa la kukemea ule ushetani uliokuwa ukifanyika ktk utawala wake???au bdo ulikuwa mtt????
Wewe ulifoji cheti au mwizi wa fedha za umma nk.nk.na ukakutana na hasira ya Magufuli sio bure.
 
Mikoa inayolisha Tanzania na nchi jirani ni tisa ambayo ni:-
1.Rukwa- Wafipa
2.Ruvuma-Wngoni
3.Songwe-Wanyiha,Wamalira,Wanyamwanga na Wandali
4.Njombe-Wabena na Wakinga
5.Morogoro- Waruguru
6.Mbeya - Wanyakyusa,Wasafwa
7.Kigoma-Waha
8.Katavi-Wafipa na Wasukuma
9.Iringa-Wahehe
Wasukuma wametapakaa KILA mahali kama wakulima KILA mkoa unawakuta kama wafanyabiashara wa kichaga vile!!
 
hujui usemalo
Wewe ndo hujui wewe cheki tu kidogo alivyo simama gwajima Na falsafa ya magufuli ya kupinga Corona watu wengi walimkubali Na wengine kumpokea kama rais chuki zako tu ndo zinakufanya useme Ivo ila ukweli ndo uo magufuli alipendwa Na watu wengi saana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom