Chama kipya cha Siasa kinachoitwa "Umoja Party" kuanzishwa

Ile ni Chama Cha Mapinduzi.
Hii ni Chama Cha Umoja.
Anyway, wahenga tumesha elewa
 
Hapa tutatajie kuwaona akina......
Bashiru
Polepole
Ngeleja
Job
Msekwa
Sinde
Biteko
Kabudi
Jafo
Makonda
Lengai yupo jela
Na....
 
Sukuma........ waaanzisha Chama chao kumuenzi mwendazake!!!
Bashiru ni msukuma?
Kabudi ni msukuma?
Job ni msukuma?
Msekwa ni msukuma?
Sinde ni msukuma?
Mkuu, ebu soma alama za nyakati usifanye ushabiki
 
Tunataka katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi sio Chama kipya.

Yaani chifu hangaya na wenzake wanadhani hii ni kete ya kwenda kujitete huko mbele eti kuna demokrasia??
Ajitetee kwa nani sasa? Mnapenda sana utumwa!
 
Bashiru ni msukuma?
Kabudi ni msukuma?
Job ni msukuma?
Msekwa ni msukuma?
Sinde ni msukuma?
Mkuu, ebu soma alama za nyakati usifanye ushabiki

Siamini kama MSEKWA NA SINDE wanaweza kuwa kwenye genge la Polepole na Bashiru.!
 
Siamini kama MSEKWA NA SINDE wanaweza kuwa kwenye genge la Polepole na Bashiru.!
Pamoja na mapungufu yao wana nafuu sana. Polepole alopoteulwa ccm alijiona amefika. Wazee walikuwa na nyazifa kubwa lakini bado wanajielewa kuliko yeye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom