Chama kipya cha Siasa kinachoitwa "Umoja Party" kuanzishwa

HIVI CCM ni chama Cha siasa? Kina hati ya USAJILI?
Mkuu Eliasmisinzo,

Ngoja niwaambie, CCM siyo chama cha siasa, CCM ni #Dini kama zilivyo dini zingine kama Ukristo, Uislamu, Udruze, Bahai, Uyahudi, Kurd, Aramean, Armenia, Upagani, Budha nk. Ni makosa makubwa yasiyosahishika kwa kanuni yoyote ile kuamini kwamba CCM ni chama cha siasa, la hasha! CCM ni #Dini na ndani ya Dini ya CCM kuna Madhehebu (Mitandao na Vyama unavyoweza kuviita Vibaraka), na ijulikane kuanzia leo kwamba hakuna mtu anaweza kuvunja Dini (ikiwemo Dini ya CCM), Hitler, Musolini, Mao, Botha, Karl Marx, Socrates, Galileo Galilee, Plato, Paulo Mtume, Martin Luther, Mafarao wote 40, Makaisari wote 12, Mapapa wote 266 walijaribu lakini hawakuweza kuvunja Dini yoyote chini ya jua, itakuwa mimi na wewe tuliolelewa kwa samaki za Ziwa Victoria na ndizi za Moshi ndiyo tuivunje CCM? Namshauri mtu yeyote atubu kwa kuamini kinyume na ukweli huu.

Tafsiri yangu hii itaishi kutimia japo leo naweza kupopolewa mawe kwayo kama Socrates 399 BC.
 
Katiba mpya haitashuka kama mana..inawezekana hicho chama unachokidharau ndio kikaleta mapinduzi ya katiba mpya tofauti na hiki kinachoishia kutoa matamko ambapo watoa matamko wapo nje ya nchi na familia zao.
Sijazungumzia katiba mpya bali katiba imara, inaweza ikawa mpya ila worse kuliko hata ya sasa.

Katiba inayo mfanya Rais kuamua hatma ya ubora wa maisha ya mtanzania (mazuri / mabaya) nafuu au kifahari. Fvck Tz!
 
Mkuu Eliasmisinzo,

Ngoja niwaambie, CCM siyo chama cha siasa, CCM ni #Dini kama zilivyo dini zingine kama Ukristo, Uislamu, Udruze, Bahai, Uyahudi, Kurd, Aramean, Armenia, Upagani, Budha nk. Ni makosa makubwa yasiyosahishika kwa kanuni yoyote ile kuamini kwamba CCM ni chama cha siasa, la hasha! CCM ni #Dini na ndani ya Dini ya CCM kuna Madhehebu (Mitandao na Vyama unavyoweza kuviita Vibaraka), na ijulikane kuanzia leo kwamba hakuna mtu anaweza kuvunja Dini (ikiwemo Dini ya CCM), Hitler, Musolini, Mao, Botha, Paulo Mtume, Martin Luther, Mafarao wote 40, Makaisari wote 12, Mapapa wote 266 walijaribu lakini hawakuweza kuvunja Dini yoyote chini ya jua, itakuwa mimi na wewe tuliolelewa kwa samaki za Ziwa Victoria na ndizi za Moshi ndiyo tuivunje CCM? Namshauri mtu yeyote atubu kwa kuamini kinyume na ukweli huu.

Tafsiri yangu hii itaishi kutimia japo leo naweza kupopolewa mawe kwayo kama Socrates 399 BC.
Niliwahi kuambiwa kuwa CCM maana yake ni CATHOLIC CHURCH MOVEMENT!!Ambayo ilianzishwa kwa kuiua TANU ambayo ilijaa waswahili wengi ambao hata juhudi zao za kupigania uhuru hazikumbukwi nchini!kifupi wazee wa TANU walipotezwa kimya kimya wasije sema ukweli wa mambo!!!NDIO MAANA NI NYERERE TU ANAKUMBUKWA SIO HAO!!!KWELI CCM NI DINI!!!
 
Upinzani Kama ni DHAIFU dola ingeingilia? Wakifanya jogging tu tayari Polisi hawa hapa, mikutano wa ndani tu, Polisi hawa hapa. Upinzani dhaifu sasa uachwe huru tuone CCM kama watakuwepo!

Acheni kulialia!
Hivi kina Nyerere, Nkurumah, lumumba, Mandela na wengine wangekua wanadeka kama chadema sijui ingekuwaje.
 
Niliwahi kuambiwa kuwa CCM maana yake ni CATHOLIC CHURCH MOVEMENT!!Ambayo ilianzishwa kwa kuiua TANU ambayo ilijaa waswahili wengi ambao hata juhudi zao za kupigania uhuru hazikumbukwi nchini!kifupi wazee wa TANU walipotezwa kimya kimya wasije sema ukweli wa mambo!!!NDIO MAANA NI NYERERE TU ANAKUMBUKWA SIO HAO!!!KWELI CCM NI DINI!!!
Ndio sababu viongozi wao wajuu hawakufungua midomo kukemea uovu uliofanyika na unaondelea kufanyika. Yawezekana hata Askofu Bagonza karuhusiwa kukosoa ili kubalance uwepo wao.
 
Alikuwa ndani ya nyumba za serikali, wala hawakuwa wabelgiji waliotoa roho ya lumumba!

Mzalendo chief mkwawa yeye alijitoa uhai kabisa, achilia mbali kina Patrick na kina Samora Machel na wengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom