MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,194
Dalili ni tosha, Chadema kinaanguka kwa kasi kubwa huku uhai wa chama unazidi kuteterereka pamoja na mifarkano inayotokea chamani kutokana na kuwepo uongozi wa KIIMLA unaoendekeza mgawanyiko wa wanachama kutokana na ukanda ukabila na udini.
Uongozi legelege katika chama umechangia kuwepo kwa maamuzi kufanywa na Mwenyekiti pamoja n Katibu Mkuu huku Makamu Mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu Bara wakitengwa katika vikao vya maamuzi.
Yote yanayotokea hivi sasa yamesababishwa na ubabaishaji wa Mheshimiwa Mbowe na Dr. Slaa ambao wamegeuza CHADEMA kuwa taasisi yao wakifuata maelekezo ya Muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei.
Ushauri wa bure kwa CHADEM, kaeni chini mjadili namna ya kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014