Chama/kikundi cha kusaidiana kwenye shida na raha (msiba/sherehe) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama/kikundi cha kusaidiana kwenye shida na raha (msiba/sherehe)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Loly, Jan 24, 2012.

 1. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Jamani natafuta chama au kikundi cha kusaidiana kwenye matatizo au furaha, nasikia kuna vikundi vya aina hii vingine viko kimakabila vingine sio lazima, kwa wote wanaojua naombeni mnijuze pamoja na masharti na kila kitu.
   
 2. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  uko maeneo gani ya tanzania hii? kama utakuwa karibu ntakuunganisha nilipo mimi
   
 3. Latifaa

  Latifaa JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 474
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  mie naishi Dar
   
 4. Latifaa

  Latifaa JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 474
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  karibu kemye chama hatuchagui kabiala kujiunga 1,000,000 ndio unakua mwanachama hai
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  sasa utanijua mie ni nani?
  Mmh, hapa parefu
   
 6. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  napatika dar my dear niko serious please kama uko dar naomba masharti yenu
   
 7. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  mmhhhh 1m?
   
Loading...