Chama gani cha siasa kina fedha zaidi nchini Tanzania kwa sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama gani cha siasa kina fedha zaidi nchini Tanzania kwa sasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Humphnicky, Aug 3, 2012.

 1. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Sina uhakika kama hadi leo CCM ni chama tajiri. Wanachama wachache ndio matajiria. Chama hakina pesa na wanachama wake wengi ni hoe hae kabisa, mijini na vijijini. Miaka michache nyuma tumeona uhuni uliofanywa na viongozi wa Umoja wa vijana CCM kulipangisha jengo lao la Lumumba na Morogoro Road kwa manufaa ya wachache.

  Chadema tunasikia wana udhamini na ufadhili toka ughaibuni na ndani ya nchi. Wafadhili wa ughaibuni wamemwaga migari ya kutosha kwa ajili ya M4C.

  Wananchi wanatupa kadi za kijani na wananunua za bluu. Uswahilini leo kila mtu kawa upande wa MAGWANDA.
  CCM nasikia ina dai viwanja vyote vya michezo Tz ni vyake. Nabanwa na kicheko, najiuliza swali la darasa la pili, mbona kwenye vitabu vyao vya mahesabu hawajumlishi na mapato yatokanayo na viwanja hivyo?

  Narudia tena kumbukumbu za utotoni. Nimezaliwa Ilolo Mbeya. Uwanja wa Mapinduzi kabla haujaitwa Sokoine, ulijengwa na wafungwa. Iweje leo CCM iseme kuwa uwanja huo ni wake?

  Jamani hebu nijulisheni ni chama gani kina nguvu zaidi kipesa kati ya CCM na CDM?
   
 2. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  chenye nguvu ya pesa lazima kitakuwa CCM sababu wanachama wake wengi billion ni vijisent
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Bado CCM ina utajiri mkubwa nadhani ni moja ya sababu ambayo inawaweka madarakani mpaka hii leo.
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo unataka tukafanye audit kwenye vitabu vyao!!!mahela ya fisadi chenge,rostam,lowassa,jk,mkono,maige(the list goes on and on)obviously ccm wana mahela sababu wanachangiaga chama hawa ili walindwe
   
 5. k

  kachwamayebe Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lengo la wewew kujua chama kinachoongoza kifedha ni lipi, ili nikusaidie kukupa takwimu
   
 6. s

  slufay JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Swali la kitoto Jibu ccm ndiyo chama tawala inayomiliki dola
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Ukishajua
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Chama Cha Mafisadi...!
   
 9. zacha

  zacha JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 60
  siku hizi JF imeshakuwa kama Facebook na twitter mtu anaposti anachojisikia!
   
 10. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Umeaibisha wakazi wa Ilolo kwa swali dhaifu kama hilo...ni vema ukapange Mwangonela.Hata mtoto wa shule ya msingi Pambogo atakua anajua Cha Cha Mabwepande kina fedha nyingi chafu. Mpaka inafikia hatua Mwenyekiti wake anaamuru wezi wa EPA warudishe CHENJI basi ujue makada wamepewa magari,pikipiki na baiskeli za kutosha!
   
 11. z

  zamlock JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  chadema ni matajiri sana kuwa na dola aimaanishi kuwa pesa za walipa kodi ni za ccm chama chenye pesa ni chadema kwanza kinakubalika na watu wengi wa lika tofauti na matajiri kwa masikini na kila mtu yuko tayari kukichangia pesa na wakapata nyingi pesa, ebu kila mmoja apige hesabu yake kila mpenda hichi chama atoe elfu moja moja kwa watu zaidi ya milioni tano chama kitakuwa na pesa kiasi gani?
   
 12. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chama cha wachaga ndio matajiri.
   
 13. m

  majebere JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Tatizo sio swali bali jinsi ulivyo lileta hilo swali. Limekaa kinafiki sana. Jibu ni CCM na sababu kubwa ni chama tawala nandio kinacho aminika hapa Tanzania, CDM ni chama cha familia na cha kikabila,wachangiaji wakubwa ni wachaga kwaiyo uwezo wake bado mdogo.
   
 14. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wewe na Majebere wote ni "Hovyo Hovyo"(Zit,2011)
   
 15. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mapato ya CCM lazima yatokane na majumba yaliyojengwa pamoja na viwanja vya michezo (stadiums) na chama wakati wa chama kimoja. Nakumbuka tulichangishwa sumuni sumuni ama kujenga jumba la TANU katika mkoa au wilaya.

  Chama kingine kikichukua dola 2015 ni lazima mali hizi ama zitaifishwe au vyama vya siasa viweze kutumia mali hizi ambazo ni za umma.

  Ni propaganda za mafisadi kwamba CDM wanapata fedha nyingi toka kwa wafadhili wa nje. Hakuna wahisani wengi kwa vyama vya siasa vilivyo katika nchi huru.
   
 16. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chama cha wachaga ndio matajiri.
   
 17. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CWT wako juu wana mwalimu hoouse pale ilala!
   
 18. M

  MAKUNDA Senior Member

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii isikupe taabu kujiuliza, Chama Maskini sasa hivi ni CCM, Hakiwezi kufanya mkutano au kikao chochote bila kuomba msaada kutoka kwa watu. Hii ndiyo imepelekea matajiri , hii ndiyo maana matajiri hawana heshima kwa uongozi wa Chama na Taifa. Wabunge na Mdiwani wa CCM wanatamani kuhama chama kutokana na bughudha ya michango inayohishia tumboni mwa viongozi
   
 19. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #19
  Aug 3, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  dawa yao no kuwajibu kama ifutavyo chama hicho ni kile kinachongozwa na fahim dovutwa
   
Loading...