Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,682
- 149,884
Chama chochote cha siasa duniani kilichotenda uovu kwa watu wake kikiwa madarakani, kamwe hakiwezi kubadilika wala kufanikiwa katika utawala wake zaidi ya kujikuta kila siku kinaharibikiwa tu na kudharauliwa.
Chama cha aina hiyo muda wote kitakuwa kinatumika adhabu(laana) kwa wao wenye kuvurugana, kuumbuana,kuhujumiana na kufanya mambo ya ajabu ajabu kwasabubu hata mungu wanakuwa wamemkosea
Chanzo kikubwa cha laana ni wao kuapa kwa kutumia BIBILIA/MSAAFU alafu wanakuja kutenda kinyume kabisa na viapo vyao wakidhani Mungu anasahau.Chama kinachoundwa na wanasiasa wa aina hiyo kiitaishia kufanya vituko na hata kikiongozwa na malaika bado hakiwezi kufanikiwa kamwe.
Kosa kubwa wanalofanya ni kushindwa kutubu mbele ya mwenyezi mungu na watu waliowapa ridhaa kuwaongoza wakidhani eti watajitakasa kwa matendo yao wanayodhani ni mema kumbe matendo yenyewe ndio laana inayowasumbua.
Kama kuna anaeona kaguswa basi namshauri yeye mwenyewe au kwa niaba ya chama chake ajitokeze hadharani atubu na kisha aombe kusamehewa yeye kama yeye na chama chake.
Nawaambieni bila kutubu,laana hii itaendelea kuwatafuna tu mpaka pale mtakapojirudi.