Chama cha wanywa pombe kwa staha bado kipo?

ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
4,976
2,000
Chama cha wanywa pombe kwa staha Tanzania(TRBDA) kilianzishwa na kusajiliwa mnamo tarehe 22 /5 /2012 .Mwenyekiti wa chama hicho Gasisi Mahuti alisema kipo kwa nguvu ya kisheria kutetea wanachama wake. Mwenyekiti alielezea wapo kumtetea mwanachama kwenye masuala ya kiafya,kijamii na kielimu.(Gazeti la mwananchi 3/9/2012)
Je hiki chama bado kipo maana naona serikali inaongeza kodi hovyo hovyo bila kushirikiana na chama hiki.
 

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
2,000
Nakumbuka waliahidi kufanya tamasha kubwa la kutoea elimu kuhusu haki zetu wanywaji, sijui iliishia wapi hii.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom