Chama cha Wanunuzi wa Korosho chamuunga mkono Rais Magufuli!, chamuomba awaondolee export levy!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,814
141,716
Chama cha wanunuzi wa korosho kimesema Rais Magufuli ana data zote zinazohusu zao la korosho na kwamba hoja zake zote kuhusu bei ya korosho kutopungua sh 3000 kwa kilo ni za msingi. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa chama hicho katika mahojiano na watangazaji wa Clouds 360. Aidha wamemuomba Rais Magufuli atumie mamlaka yake kuwaondolea export levy kwenye zao hilo.
Source Clouds tv!
 
mbona aliporudisha export levy serikali kuu mliimba HAPA KADHI TUU ?
Leo mmegundua madhara ya kusifia hata unapoumizwa !
export levy ikiwepo warudishiwe wakulima kwenye mfuko wao
 
Chama cha wanunuzi wa korosho kimesema Rais Magufuli ana dsta zote zinazohusu zao la korosho na kwamba hoja zake zote kuhusu bei ya korosho kutopungua sh 3000 kwa kilo ni za msingi. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa chama hicho katika mahojiano na watangazaji wa Clouds 360. Aidha wamemuomba Rais Magufuli atumie mamlaka yake kuwaondolea export levy kwenye zao hilo.
Source Clouds tv!
Pesa zenyewe Jiwe kadhulumu walima korosho.

Mpaka akatishia kutuma "watu wake" wakapige mashangazi wa watu.

Atawezaje kuwaachia wafanyabiashara tena hizo pesa ZA DAMU !
 
Back
Top Bottom