chama cha wanaume wanaopigwa na wake zao Tanzania - CCWWWT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chama cha wanaume wanaopigwa na wake zao Tanzania - CCWWWT

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 9, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,128
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  Wanandugu tarehe 20 mwezi wa kuminamoja tunatarajia kupata usajili rasmi wa chama cha wanaume wanaoopigwa na wakezao tanzania..
  kumekuwa na wanaume wengi sana wanaofanyiwa vitu vingi na kushindwa kuwa wa wazi..mmoja wapo wakati tukifanya utafiti kwenye familia za wanaopigwa na wake zao...wengi wao walikubali hali halisi...na wengine ni kutokana na matatizo yao wanayofanya juu ya wake zao.....
  tunawapongeza wale wote waliofanikisha kupata usajili huu vile vile tunawapongeza wamama kwa kuwapa adabu waume zao pale wanapoleta ujinga kwenye familia

  WITO
  Wanamama msikate tamaa hii ni kionjo tu.......,wakileta ujinga CHAPENI MAKOFI..NARUDIA CHAPENI MAKOFI KAMA NYIE MSIPOWAFUNDISHA WAUME ZENU NANI ATAWAFUNDISHA..NYUMBA NDOGO SIKU ZOTE ZINANYENYEKEA KUPATA HAKI ZENU...ZO NI NYIE MTAKAOWEZA KUNGANGANIA AMA KUZIACHIA HAKI ZENU.......
   
 2. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Too low.....Sasa hii inafanya nini kwenye jukwaa MAKINI la SIASA??
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwani maswala ya haki za na usawa wa kijinsia si siasa?
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,128
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  kwako unajua siasa ni kitandani na jukwaani pekee??
   
 5. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2009
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Ni aibu kwa mwanaume na misuli yako upigwe na mwanamke. akikushinda tumia hata shoka. akupige an unyumba umpe na matumizi ya nyumbani utoe?
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,128
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  aaaaaaaaaaahhh mkuu lyangalo

  kama abehave wacha apewe kipondo
   
 7. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 8. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mwanaume anayepigwa na mkewe kapenda mwenyewe kupigwa.
   
 9. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Right,

  Kama mwanamke anayepigwa na mumewe alivyopenda mwenyewe kupigwa.
   
 10. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Hili nalo neno....lol
   
 11. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kama ni wazembe silazima wapewe vibano ila kama ni kichwa cha nyumba hawezi pewa mkong'oto hata siku moja.
  Kama mpo mnaomegwa na wake zenu poleni sana..
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Du haya endeleeni
   
 13. M

  Msindima JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Makubwa,hivi inakuwaje mpaka jamaa anashushiwa kipondo na mamsap wake?
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Nov 10, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Tuwaulize hao wanaopigwa!!
   
Loading...