- Thread starter
- #41
Tundu Lissu nampenda sana, ni mpiganaji wa nguvu. Anasema pia Rais asipomwondoa huyu jaji yeye atapeleka hoja bungeni ya kumwondoa Rais kwa kuvunja katiba kwa makusudi kwa kumteua mtu ambaye hastahili kuwa jaji wa mahakama ya rufaa.