Chama Cha Wananchi (CUF): Taarifa kwa Umma

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Leo February 08,2020

TAARIFA KWA UMMA

IMG-20200208-WA0019.jpg
 
Ule waraka kama ni wa serikali nauunga mkono mana wametoa sababu zenye mashiko.

CUF na vyama vingine vya kupinga kila kitu wanapaswa kuweka mbele maslahi ya umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii haki sawa na furaha kwawote Cuf huwa ni kuwatetea mashoga ama?? Wakazane kukiweka chama vizuri alafu wamtafute hata ambaruti wampigishe ndoa ya mkeka na ndugu Li pumba. Ukioa akili hutulia vyema
 
Hivi vyama pandikizi vya ccm haviwezi kuongelea mambo sensitive kama namna gani uchaguzi unaweza ukawa huru na wa haki.

Wanaona wakidai hayo watawaudhi "Patron" wao na hivyo kuwaleta on a collision course with their masters ccm. Cuf ni bure kabisa.
 
Back
Top Bottom