Mwanabodi tatizo la wamiliki hawataki kuchangia kuonyesha hizo kasoro za kwenye hiyo rasimu! kama kuna marekebisho yafanywe wao day one walianza kuonyesha kuwa watagoma zikipitishwa. Ni lazima nikiri kuwa SUMATRA hawakutoa muda wa kutosha kupokea maoni ya wadau mjadala ulikuwa wa siku moja tena mji wa Dar-es-salaam pekee yake wangeufanya hata na baadhi ya mikoa.Mbona ipo vizuri. Sijaona ubaya wowote kwenye huu utaratibu mpya.
Chama cha Wamiliki wa Mabasi(TABOA) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Malori na Chama cha Wasafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo nchi nzima kuanzia siku ya jumatatu ili kushinikiza serikali kutopitisha sheria ya usafirishaji inayotarajiwa kusomwa mara ya tatu na kupitishwa siku ya Jumanne wiki ijayo.
Akitoa maazimio hayo yaliyofikiwa katika mkutao mkuu maalumu wa chama cha wamiliki wa Mabasi, Malori, Daladala na Baji, katibu mkuu wa TABOA Bwana. Eneo Mrutu amesema sheria inaloyolenga kupitishwa haikuwashirikisha wadau na haitenganishi makosa ya dereva na mmiliki, hali inayosababisha kosa lililofanywa na dereva linasababisha mmiliki kufungwa jela.
Aidha amewaomba wabunge bila kujali itikadi za vyama vyao kutopisha sheria hiyo mpaka ifanyiwe marekebisho kwa kuwa inalenga kuharibu sekta ya usafirishaji nchini.
Chanzo: ITV
Yaani watz huwa wanalalama tu bila hata kujua kitu. Hizo kanuni za SUMATRA wala haziendi bungeni ni nzuri tu zinampa mwajiri wajibu ikitiliwa maanani yeye ndo anaomba leseni Sumatra. Majukumu ya dreva ni kuendesha gari na makosa atakayotenda kuhusiana na uendeshaji wa gari yeye ndo atakuwa responsible. Wamiliki wasikwepe majukumu yao!Hii sheria ikipitishwa nita wadharau sana wabunge.
Jukumu gani unalozungumzia hapa, umeisoma vizuri hiyo sheria.Yaani watz huwa wanalalama tu bila hata kujua kitu. Hizo kanuni za SUMATRA wala haziendi bungeni ni nzuri tu zinampa mwajiri wajibu ikitiliwa maanani yeye ndo anaomba leseni Sumatra. Majukumu ya dreva ni kuendesha gari na makosa atakayotenda kuhusiana na uendeshaji wa gari yeye ndo atakuwa responsible. Wamiliki wasikwepe majukumu yao!
Jukumu gani unalozungumzia hapa, umeisoma vizuri hiyo sheria.
Mmiliki ananunua suti then Dereva na konda wasipo zivaa mmiliki anahusika vp hapo.
Yani manayake mmiliki azurule na gari kilasiku ilikuhakikisha dereva anavaa suti??.
Dereva akikatisha ruti mmiliki anahusika vipi, unafungia leseni kwasababu dereva amekatisha ruti??
Mmiliki hukoaliko anajua kwamba dereva anakatisharuti huko barabarani??.
Sasa hivi huwezi kupata ruti sumatra kama dereva hana mkataba.Nijukumu lake kununua suti wamekuwa hawataki kununua suti za madereva pia ni jukumu lake kumsimamia dereva asikatishe ruti. Akiwalipa vizuri madereva si dhani kama dereva atakuwa kichaa wa kukatisha ruti. Kuna gari nyingi madereva wanamikataba mizuri hawafanyi ujinga huo. Duniani kote mwajiri anajukumu kwa mwajiriwa wake kwa nini ishindikane kwa wenye magari hapa TZ tu???
mkuu nauli zinapangwa na haohao uhasama, mikataba ya madereva inasajiriwa na haohao uhasama, wekeni nauli ya dar mwanza iwe laki nane muone kama madereva hawatalipwa vizuri..Nijukumu lake kununua suti wamekuwa hawataki kununua suti za madereva pia ni jukumu lake kumsimamia dereva asikatishe ruti. Akiwalipa vizuri madereva si dhani kama dereva atakuwa kichaa wa kukatisha ruti. Kuna gari nyingi madereva wanamikataba mizuri hawafanyi ujinga huo. Duniani kote mwajiri anajukumu kwa mwajiriwa wake kwa nini ishindikane kwa wenye magari hapa TZ tu???
Nijukumu lake kununua suti wamekuwa hawataki kununua suti za madereva pia ni jukumu lake kumsimamia dereva asikatishe ruti. Akiwalipa vizuri madereva si dhani kama dereva atakuwa kichaa wa kukatisha ruti. Kuna gari nyingi madereva wanamikataba mizuri hawafanyi ujinga huo. Duniani kote mwajiri anajukumu kwa mwajiriwa wake kwa nini ishindikane kwa wenye magari hapa TZ tu???
naona kwa hili nauli zitashuka, dereva wa bajaj umkatie bima ya afya umlipie nssf umlipie paye umdhamini na mkopo nmb kwa hiyohiyo 400? lazima nauli ishuke kidogo.kuna mambo yameshafanyika huko "duniani" kweli ni mazuri je kwetu hapa unauhakika wakati wake ndio huu au unahitajika muda ebu cheki mwendokasi mpaka inafikia yanagongana yenyewe kwa yenyewe......ukizungumzia mishahara mizuri(Bima ya afya, mafao ya uzeeni, likizo n.k) kwa madereva wa daladala na kondakta wake hivi bado nauli itakuwa ni 400 au itashuka...SUMATRA hii hii inayosema itakata ushuru kwa kila chombo ya usafiri unao pakia abiria kuanzia wawili ila sasa hivi wanalazimisha boda boda walipe ushuru wakati boda inapakia abiria mmoja....
hah hah ha ha shida hapa tunakurupuka.......naona kwa hili nauli zitashuka, dereva wa bajaj umkatie bima ya afya umlipie nssf umlipie paye umdhamini na mkopo nmb kwa hiyohiyo 400? lazima nauli ishuke kidogo.
kuna mambo yameshafanyika huko "duniani" kweli ni mazuri je kwetu hapa unauhakika wakati wake ndio huu au unahitajika muda ebu cheki mwendokasi mpaka inafikia yanagongana yenyewe kwa yenyewe......ukizungumzia mishahara mizuri(Bima ya afya, mafao ya uzeeni, likizo n.k) kwa madereva wa daladala na kondakta wake hivi bado nauli itakuwa ni 400 au itashuka...SUMATRA hii hii inayosema itakata ushuru kwa kila chombo ya usafiri unao pakia abiria kuanzia wawili ila sasa hivi wanalazimisha boda boda walipe ushuru wakati boda inapakia abiria mmoja....